Diamond ajaza nyomi la watu Zambia

Ukweli huyu jamaa level zake asa iv ni za mbali sana maana kauthibitishia umma kuwa anakubalika kila sehem siyo bongo tu.....maana jana kajaza uwanja kabisa tena nchi ya ugenini.

My take acheni kuwa mnamlinganisha diamond na mambo za kijinga.
Hahahha hebu taja wasanii wa zambia waliokuwapo kwa hilo tamasha shirikishi. Sifa za kipuuzi kabisa
 
Mungu akishaweka ticky wewe ni wa kupata basi hakuna mwanadamu atakayeweza kubadili matakwa ya Muumba wetu. Watasema sana mchana usiku watalala. DP hayuko perfect kama binadamu wengine wote lakini anajituma sana na kama wewe ni mpenda maendeleo ya walala hoi basi ni lazima uyafurahie maendeleo ya huyu hasa ukitilia maanani alikotoka kama mlala hoi.

Ukweli huyu jamaa level zake asa iv ni za mbali sana maana kauthibitishia umma kuwa anakubalika kila sehem siyo bongo tu.....maana jana kajaza uwanja kabisa tena nchi ya ugenini.

My take acheni kuwa mnamlinganisha diamond na mambo za kijinga.
 
local artists walioperform hapo walikuwa wangapi?hivi wanapokuja akina tekno au wizkid si wanaperform na local artists kwenye steji moja....nahisi labda local artists walichangia uwanja kujaa
 
Haaaa diamond naye si bashite tu @ bora kiba mara 100000000 kuliko huyu anayejiita simba kumbe ni nyau tu
Kweli ww sumu na hii sumu inakuua mwenyewe ndani kwa ndani
 
Hahahha hebu taja wasanii wa zambia waliokuwapo kwa hilo tamasha shirikishi. Sifa za kipuuzi kabisa
Mm najua aliejaza huwo uwanja ni mond hao wasanii unaowasema wataje ww mm siwajui
 
Ma'mdogo huu mchezo hautaki hasira,HIYO UNAOLAZIMISHA WEWE NI SAWA NA KUSEMA SHOO YA MOMBASA CHRISS BROWN HAKUJAZA YEYE KWA VILE PALIKUWA NA WASANII KIBAO WA NYUMBANI.
Watu tunaangalia who is main artist....kwenye hiyo show watu kibao wamekuja kwa ajili ya mond na si local artist....mond punguza kidogo maana balaa lako moja tu nchi inatikisika
 
Watu tunaangalia who is main artist....kwenye hiyo show watu kibao wamekuja kwa ajili ya mond na si local artist....mond punguza kidogo maana balaa lako moja tu nchi inatikisika
Huyo ma'mdogo hapo juu anajaribu kutaka nafuu kutokana na upuuzi wa "king wao" na shoo zake za chumbani na kuzipa jina la "world tour" wakati hata Rayvann yuko juu.

Angalia upuuzi unaoitwa "world tour" sasa unafikiri kwa nini mashabiki wake wasije kudis NYOMI la MOND ??
 
Hahahaaa ngoja povu liwatoke
 
Wewe huoni hao wengine ni wasindikizaji?
Ata Cassper Nyovest alijaza uwanja wa mpira lakini waliperform wasanii kibao kuanzia Wizkid , Nasty C , mtee lakini record imeandikwa kwamba Cassper ndo kajaza
Mwambie huyo.....izi siyo show za sebuleni kama anazofanya mwafulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…