Diamond ajaza nyomi la watu Zambia

Mkuu unaelewa tofauti ya kuthibitisha na kudhibitisha? au wewe ni mkimbizi?
 
Hivi tu vijana wa siku hizi si wachawi lkn wana roho mbaya, wanafiki, wakatisha tamaa na wavivu, je siku wakipewa tunguli si tutauwana sana. Sometimes bora kampani yako iwe ya wazee tu, yaani sijui vijana wa siku hizi tuna nini, tunapenda mafanikio lkn tumawachukia sana vijana wenzetu waliofanikiwa , alafu tunataka maendeleo.
 
Music festival hiyo,sawa useme Baraka da prince kajaza kirumba fiesta
 
Hata saida karoli amewahi kuujaza uwanja wa taifa.
Lakini saa hii anatembea peku tu huko kwao anakimbizana na matetemeko.
 
MosiOfThunder kama ambavyo wenyewe wa Zambia wanapenda kuliita hili tamasha ni kati ya matamasha makubwa Zambia na linafanyika kila mwaka chini ya wizara ya Utamaduni na kampuni ya Bewaries yaani kama inavyokua Fiesta huku kwetu na wana utaratibu wa kualika wasanii toka nje ya Zambia na safari hii ilikua atumbuize Tekno ila akashindwa kwenda dakika za mwisho ndio kijana wetu Diamonda akapata nafasi ya kwenda kama mbadala wa Tekno.
Tuache uwasilishaji mbovu wa habari ni aibu kama Tekno alivyokuja Fiesta Dar alafu akatangaze aliujaza uwanja wa Leaders wakati kulikua na timu kubwa ya wasanii wetu ambao wamewavuta hao watu hii ni sawa Diamond yeye alienda kama mualikwa naamini hata angeenda Kingwendu watu wa Zambia wangejazana kwenye tamasha lao maalumu ila tunadanganyana kua kijana wetu amejazana uwanja ingawa mwenyewe Diamond aliweka wazi kua anaenda kuungana na wasanii lukuki toka Zambia kwenye hilo tamasha ni sawa uwepo wake ni chachu lakini hata asingeenda asingepunguza idadi ya watu,kwenye ukweli tuwe tunaambiana tu sio vibaya ila pia Diamond ametuwakilisha vyema kwa classic show.
 
mn
MNAJARIBU KUZUIA MAFURIKO KWA MKONO SIYO

hilo tamasha mondi amepewa masaa mangap mpaka apige nyimbo zoteee

Jee hao wazambia masaa yote wanaimba hizo nyimbo za mondi tu na kuzijua zote,maaana video hazidanganyi,kila kitu kiko wazi,wazambia wanapiga kiswahili tu
Tueleze pia,hao wasanii wengine walipewa sekunde ngapingapiii?

Mleta uzi hakutuma video mmepata cha kuongea,sasa nenda kachek video nafikiri pressure itapanda na mwisho wa siku utakana kua si kama tamasha la fiesta ya zambia kwa wingi ule,bali utajifariji kua wameedit kama kawaida ya team kiba kujifariji kwa kutumia ujinga.

BY THE WAY,TUPO NA SHOW ME KILA MTAA INAGONGWA TU

kiwanda ya music ya WCB ni noma sanaaa,unaweza shinda waskiza nyimbo zao tu zilivyo tamu.

ENDELEENI KUSUBIR AJE REMIX PARTY4
 
Aliyekudanganya jf ni mtandao wa kudanga alikuingiza chaka. Watakuchapa na hela upati.
 
hawa watoto wa huku kaka ni ngumu kuwaelewesha kitu
 
kwa hiyo Davido anapokuja Fiesta na wabongo wakiimba nyimbo zake mwanzo mwisho basi Fiesta ndio inakuwa ya Davido?!
 
acheni kudanganya watu kiboya boya...apige "One Man show* watu wajae tumsifie sio kwa mgongo wa wenzie alafu mje piga kelele humu
 
acheni kudanganya watu kiboya boya...apige "One Man show* watu wajae tumsifie sio kwa mgongo wa wenzie alafu mje piga kelele humu
Mifano ipo mingi sana domo kapiga one man show na akajaza uwanja Rwanda alijaza uwanja wa mpira amahoro, juzi kati Oman kajaza uwanja, yaani mifano mingi tu....

Domo hafanyi tena show za kwny birthday na club kama mwafulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…