tunazungumzia Zambia....Mifano ipo mingi sana domo kapiga one man show na akajaza uwanja Rwanda alijaza uwanja wa mpira amahoro, juzi kati Oman kajaza uwanja, yaani mifano mingi tu....
Domo hafanyi tena show za kwny birthday na club kama mwafulani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]tunazungumzia Zambia....
Kwanini udanganye watu we msukule wa Madale.
Yaani ni shidaNimeona video clip wazambia wanaimbishwa kiswahili.
Nakubaliana na wewe kabisa.Mungu akishaweka ticky wewe ni wa kupata basi hakuna mwanadamu atakayeweza kubadili matakwa ya Muumba wetu. Watasema sana mchana usiku watalala. DP hayuko perfect kama binadamu wengine wote lakini anajituma sana na kama wewe ni mpenda maendeleo ya walala hoi basi ni lazima uyafurahie maendeleo ya huyu hasa ukitilia maanani alikotoka kama mlala hoi.
mn
MNAJARIBU KUZUIA MAFURIKO KWA MKONO SIYO
hilo tamasha mondi amepewa masaa mangap mpaka apige nyimbo zoteee
Jee hao wazambia masaa yote wanaimba hizo nyimbo za mondi tu na kuzijua zote,maaana video hazidanganyi,kila kitu kiko wazi,wazambia wanapiga kiswahili tu
Tueleze pia,hao wasanii wengine walipewa sekunde ngapingapiii?
Mleta uzi hakutuma video mmepata cha kuongea,sasa nenda kachek video nafikiri pressure itapanda na mwisho wa siku utakana kua si kama tamasha la fiesta ya zambia kwa wingi ule,bali utajifariji kua wameedit kama kawaida ya team kiba kujifariji kwa kutumia ujinga.
BY THE WAY,TUPO NA SHOW ME KILA MTAA INAGONGWA TU
kiwanda ya music ya WCB ni noma sanaaa,unaweza shinda waskiza nyimbo zao tu zilivyo tamu.
ENDELEENI KUSUBIR AJE REMIX PARTY4
Sizani kama mtu anaejielewa na muhangaikaji anaweza ropoka uwo uharo.....mm nikafiri viroba havpo kabisa kumbe bado vinapatikana
Tunataka unye tikiti au boga
Tatizo lako akili yako inawaza Diamond na Kiba kwa kua wamewafundisha kuvaa suruali za kubana au pengine umri wako pia hawa watoto ndio wamekufanya upende muziki sasa nakushauri kajifunze kuhusu hilo tamasha jaribu ku-google attendence ya mwaka jana wakati wamelikwa Casper na Roberto ilikuaje na mwaka huu ilikuaje utajua hilo tamasha sio la mtu au msaani mmoja ndio maana nimesema hata angeenda Kingwendu asingepunguza wala kuongeza idadi ya watu kwa kua wizara yenyewe wanasimamia kuvuta watu kwenye utamaduni wao duh watoto wa siku hizi hata nguo za ndani mtakua mnavaa kuwafuata hao wanaongoza timu zenu Diamond na Kiba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana mtu akitoa maoni tu fast mnawahi uyu atakua timu flani kwa kifupi hao kuku wenu wawili wamenikuta naupenda muziki hata kabla hawajaruhusiwa na mama zao kuimba.
Rudi kwenye comment yangu ya mwanzo nionyeshe nilipomtaja uyu kaka yenu Kiba maana ishu ya Diamond sijui Kiba ameingiaje,itakua ni KICHAA 1st class siku Baraka the Prince ajisifie alijaza uwanja wa Nangwanda Sijaona wa Mtwara kwenye tamasha la Fiesta wakati waliotumbuiza walikua wengi wapo walioenda kumuona Blue na wengineo,narudia tena Diamond kwenye tamasha la MosiOfThunder hakua kwenye ratiba amepata zali baada ya yule mtoto Tekno kuthibitisha hatokwenda na hata angeenda Tekno tungekataa kama angetuambia kajaza ule uwanja wa golf maana kwenda au kutokwenda kwa Tekno hakujabali idadi ya wahudhuriaji duh walimu wana kazi kweli uko mashuleni FYI hiyo show nimeiona yote.
Unajitekenya alafu unacheka mwenyewe.......Tatizo lako akili yako inawaza Diamond na Kiba kwa kua wamewafundisha kuvaa suruali za kubana au pengine umri wako pia hawa watoto ndio wamekufanya upende muziki sasa nakushauri kajifunze kuhusu hilo tamasha jaribu ku-google attendence ya mwaka jana wakati wamelikwa Casper na Roberto ilikuaje na mwaka huu ilikuaje utajua hilo tamasha sio la mtu au msaani mmoja ndio maana nimesema hata angeenda Kingwendu asingepunguza wala kuongeza idadi ya watu kwa kua wizara yenyewe wanasimamia kuvuta watu kwenye utamaduni wao duh watoto wa siku hizi hata nguo za ndani mtakua mnavaa kuwafuata hao wanaongoza timu zenu Diamond na Kiba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana mtu akitoa maoni tu fast mnawahi uyu atakua timu flani kwa kifupi hao kuku wenu wawili wamenikuta naupenda muziki hata kabla hawajaruhusiwa na mama zao kuimba.
Rudi kwenye comment yangu ya mwanzo nionyeshe nilipomtaja uyu kaka yenu Kiba maana ishu ya Diamond sijui Kiba ameingiaje,itakua ni KICHAA 1st class siku Baraka the Prince ajisifie alijaza uwanja wa Nangwanda Sijaona wa Mtwara kwenye tamasha la Fiesta wakati waliotumbuiza walikua wengi wapo walioenda kumuona Blue na wengineo,narudia tena Diamond kwenye tamasha la MosiOfThunder hakua kwenye ratiba amepata zali baada ya yule mtoto Tekno kuthibitisha hatokwenda na hata angeenda Tekno tungekataa kama angetuambia kajaza ule uwanja wa golf maana kwenda au kutokwenda kwa Tekno hakujabali idadi ya wahudhuriaji duh walimu wana kazi kweli uko mashuleni FYI hiyo show nimeiona yote.
Umekosea jukwaa nakushauli nenda kwenye jukwaa la kilimo na uvuvi uongezeee upeo kuhusu izo sektaChangamkia maisha na maendeleo yako, unatupa updates zisizo na tija ili iweje?
Kama walikuwa wanauwezo wa kujaza uwanja bila diamond walimualika wa nini kupoteza zaidi ya milioni 100 za bure? are you serious?Tatizo lako akili yako inawaza Diamond na Kiba kwa kua wamewafundisha kuvaa suruali za kubana au pengine umri wako pia hawa watoto ndio wamekufanya upende muziki sasa nakushauri kajifunze kuhusu hilo tamasha jaribu ku-google attendence ya mwaka jana wakati wamelikwa Casper na Roberto ilikuaje na mwaka huu ilikuaje utajua hilo tamasha sio la mtu au msaani mmoja ndio maana nimesema hata angeenda Kingwendu asingepunguza wala kuongeza idadi ya watu kwa kua wizara yenyewe wanasimamia kuvuta watu kwenye utamaduni wao duh watoto wa siku hizi hata nguo za ndani mtakua mnavaa kuwafuata hao wanaongoza timu zenu Diamond na Kiba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana mtu akitoa maoni tu fast mnawahi uyu atakua timu flani kwa kifupi hao kuku wenu wawili wamenikuta naupenda muziki hata kabla hawajaruhusiwa na mama zao kuimba.
Rudi kwenye comment yangu ya mwanzo nionyeshe nilipomtaja uyu kaka yenu Kiba maana ishu ya Diamond sijui Kiba ameingiaje,itakua ni KICHAA 1st class siku Baraka the Prince ajisifie alijaza uwanja wa Nangwanda Sijaona wa Mtwara kwenye tamasha la Fiesta wakati waliotumbuiza walikua wengi wapo walioenda kumuona Blue na wengineo,narudia tena Diamond kwenye tamasha la MosiOfThunder hakua kwenye ratiba amepata zali baada ya yule mtoto Tekno kuthibitisha hatokwenda na hata angeenda Tekno tungekataa kama angetuambia kajaza ule uwanja wa golf maana kwenda au kutokwenda kwa Tekno hakujabali idadi ya wahudhuriaji duh walimu wana kazi kweli uko mashuleni FYI hiyo show nimeiona yote.
Tatizo lako akili yako inawaza Diamond na Kiba kwa kua wamewafundisha kuvaa suruali za kubana au pengine umri wako pia hawa watoto ndio wamekufanya upende muziki sasa nakushauri kajifunze kuhusu hilo tamasha jaribu ku-google attendence ya mwaka jana wakati wamelikwa Casper na Roberto ilikuaje na mwaka huu ilikuaje utajua hilo tamasha sio la mtu au msaani mmoja ndio maana nimesema hata angeenda Kingwendu asingepunguza wala kuongeza idadi ya watu kwa kua wizara yenyewe wanasimamia kuvuta watu kwenye utamaduni wao duh watoto wa siku hizi hata nguo za ndani mtakua mnavaa kuwafuata hao wanaongoza timu zenu Diamond na Kiba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana mtu akitoa maoni tu fast mnawahi uyu atakua timu flani kwa kifupi hao kuku wenu wawili wamenikuta naupenda muziki hata kabla hawajaruhusiwa na mama zao kuimba.
Rudi kwenye comment yangu ya mwanzo nionyeshe nilipomtaja uyu kaka yenu Kiba maana ishu ya Diamond sijui Kiba ameingiaje,itakua ni KICHAA 1st class siku Baraka the Prince ajisifie alijaza uwanja wa Nangwanda Sijaona wa Mtwara kwenye tamasha la Fiesta wakati waliotumbuiza walikua wengi wapo walioenda kumuona Blue na wengineo,narudia tena Diamond kwenye tamasha la MosiOfThunder hakua kwenye ratiba amepata zali baada ya yule mtoto Tekno kuthibitisha hatokwenda na hata angeenda Tekno tungekataa kama angetuambia kajaza ule uwanja wa golf maana kwenda au kutokwenda kwa Tekno hakujabali idadi ya wahudhuriaji duh walimu wana kazi kweli uko mashuleni FYI hiyo show nimeiona yote.
Hivi hawa wa Zambia hawana akili kiasi gani wamlipe Diamond zaidi ya milioni 100 bure wakati uwanja hata kingwendu anajaza?MosiOfThunder kama ambavyo wenyewe wa Zambia wanapenda kuliita hili tamasha ni kati ya matamasha makubwa Zambia na linafanyika kila mwaka chini ya wizara ya Utamaduni na kampuni ya Bewaries yaani kama inavyokua Fiesta huku kwetu na wana utaratibu wa kualika wasanii toka nje ya Zambia na safari hii ilikua atumbuize Tekno ila akashindwa kwenda dakika za mwisho ndio kijana wetu Diamonda akapata nafasi ya kwenda kama mbadala wa Tekno.
Tuache uwasilishaji mbovu wa habari ni aibu kama Tekno alivyokuja Fiesta Dar alafu akatangaze aliujaza uwanja wa Leaders wakati kulikua na timu kubwa ya wasanii wetu ambao wamewavuta hao watu hii ni sawa Diamond yeye alienda kama mualikwa naamini hata angeenda Kingwendu watu wa Zambia wangejazana kwenye tamasha lao maalumu ila tunadanganyana kua kijana wetu amejazana uwanja ingawa mwenyewe Diamond aliweka wazi kua anaenda kuungana na wasanii lukuki toka Zambia kwenye hilo tamasha ni sawa uwepo wake ni chachu lakini hata asingeenda asingepunguza idadi ya watu,kwenye ukweli tuwe tunaambiana tu sio vibaya ila pia Diamond ametuwakilisha vyema kwa classic show.
Kama walikuwa wanauwezo wa kujaza uwanja bila diamond walimualika wa nini kupoteza zaidi ya milioni 100 za bure? are you serious?
Wanatanzia tunapenda mafanikio lakini tunachukia waliofanikiwa
Mkuu nyingine hii hapa itafanyika DRC CONGO akijaza tena uwanja huko mtasema Tekno hakwenda
View attachment 503598
Hivi hawa wa Zambia hawana akili kiasi gani wamlipe Diamond zaidi ya milioni 100 bure wakati uwanja hata kingwendu anajaza?
Wana pesa sana au?
Alafu mtu kama wewe utakuwa umesoma na una degree
Nchi hii ina zaidi ya majanga
Mkuu nyingine hii hapa itafanyika DRC Congo sijui mtasema nini
View attachment 503599
Naongea kitu ninachokifahamu na nina uhakika nac gho kwa show za nje ya Tanzania tena akienda na bend yake kupiga liveDiamond amejaza uwanja na bila yeye lile tamasha lingekosa watu [emoji23][emoji23] na amelipwa 100 sijui nani kakuambia iyo inawezekana wewe ndio Diamond.
CASE CLOSED....
Uyo ni haterNaongea kitu ninachokifahamu na nina uhakika nac gho kwa show za nje ya Tanzania tena akienda na bend yake kupiga live
Diamond bila milioni 130 za kitanzania hajafanya show
Show za ndani yyt t a Tanzania akipiga live bila milioni 100 hajafanya show muulize Eric Shigongo atakupa habari
picha kwanza maelezo baadae