mn
MNAJARIBU KUZUIA MAFURIKO KWA MKONO SIYO
hilo tamasha mondi amepewa masaa mangap mpaka apige nyimbo zoteee
Jee hao wazambia masaa yote wanaimba hizo nyimbo za mondi tu na kuzijua zote,maaana video hazidanganyi,kila kitu kiko wazi,wazambia wanapiga kiswahili tu
Tueleze pia,hao wasanii wengine walipewa sekunde ngapingapiii?
Mleta uzi hakutuma video mmepata cha kuongea,sasa nenda kachek video nafikiri pressure itapanda na mwisho wa siku utakana kua si kama tamasha la fiesta ya zambia kwa wingi ule,bali utajifariji kua wameedit kama kawaida ya team kiba kujifariji kwa kutumia ujinga.
BY THE WAY,TUPO NA SHOW ME KILA MTAA INAGONGWA TU
kiwanda ya music ya WCB ni noma sanaaa,unaweza shinda waskiza nyimbo zao tu zilivyo tamu.
ENDELEENI KUSUBIR AJE REMIX PARTY4