Diamond ajenga nyumba yake na kuweka swimming pool ndani

Diamond ajenga nyumba yake na kuweka swimming pool ndani

ukienda Malaysia kila Apartment ina swimming pool na ni kitu cha kawaida sana lakin nawashangaa mnaona ni issue kubwa kweli umasikin mbaya

eeh jmn msitulaumu,tumezaliwa africa sie na bado tupo,kuwa na pool bado kwa hapa bongo ni lazma uwe nazo ,...na mie hadi nijenge hyo pool ka kweli,au unasemajee dr?
 
ni hivi kuweka swimming pool it's all about priority kama wewe huna uwezo kwanini uone ni kitu cha ajabu?
 
Wewe boya nani kakudanganya Bill gates gates hajasoma? Pale Harvard University Alikuwa anafanya nini?

Labda nikusaidie wewe Google Harvard University ndio utajuwa hiko chuo kinapokea wanafunzi wa aina gani.

Hata aliyekuwa waziri mkuu wa TZ Fredrick nae kasoma Harvard na wakati anajiunga alikuwa ana diploma ya kilimo
 
Back
Top Bottom