Diamond ajibu nyimbo mpya disstrack kwenda kwa kiba

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Baada ya alikiba kutoa diss track yake inayokwenda kwa jina la mediocre.
Ikielezwa kwamba ni dies kwenda kwa diamond...

Sasa mlengwa mwenyewe yaani diamond ametoa track yake inayokwenda kwa jina la "haunisumbui" ikielezwa kwamba ni diss yaani comeback kurudi kwa alikiba
Nategemea pia mawe hapa.
Nb; Mimi nimeleta taarifa tu..
 
Kajibu kijanja, kama anamwambia dem ila tumeelewa.
Wale wa no kiki no busta Sijui wanaweka wapi sura zao.
Shabiki tu, ila unajidai msemaji wa mond na familia yake.
 
Kajibu kijanja, kama anamwambia dem ila tumeelewa.
Wale wa no kiki no busta Sijui wanaweka wapi sura zao.
Shabiki tu, ila unajidai msemaji wa mond na familia yake.
Tuwataje kama vipi? Hahaha
 
Kaka futa huu Uzi unakushushia heshima inamaana alikiba Ni ex girlfriend wa diamond?
 
Huu wimbo ulikiwepo kabla hata ya disstrack ya alikiba Kama ulifuatilia insta story ya sallam kipindi anatusikilizisha nyimbo za wcb ambazo hazijatoka huu pia aliu_play kionjo kabla hata alikiba hajatoa disstrack yake pia Kuna wimbo mwingne unaitwa zuwena wenye maadhi haya haya.Kwahy broh siyo kweli kwamba hii Ni disstrack kwa kiba.Over
 


Kiba naye mjinga wimbo gani ule! DIAMOND Kamzidi sana .yeye sasa yupo level ya Harmonize na Zuchu
 
si kweli mkuuu

huo wimbo kamdis mdada ambae kaachana nae (ex girl friend)
 
Hii nyimbo angempa zuchu ingenoga sana maana ndo mikato yake halafu najaribu imagine sautti ya kike kwenye hii song naona ingenoga zaidi
 
Ni kina nani hao,nasikia sijui dayang'ombe,mara hali- kimba mara harmo-nazi
 
nyie mashabiki uchwara wa bwana kiba mna shida Upstairs bila shaka hii nyimbo Diamond alikua akishare vipande vyake karibu mwaka/miaka miwili nyuma wakat ame achana na baby mama wawake na hata ukisikiliza ni anamuimbia Ex wake iweje useme ni diss track kwa kiba ama mna taka kutu aminisha kua boss wenu kiba alkua ni Chakula cha DP yaani alkua akifumuliwa mrota???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…