Hivi kk umepitia YouTube yaani audio ya SIKOMI inatrend siku tatu inakaa namba moja (NIACHE imekaa tano bora siku tatu) na nyimbo zimetoka bila promo wala kiki apo na hizi nyimbo zote diamond platnumz, kafanya kama freestyle zipo hivyo Je angeongeza userious kidogo si ingekuwa hatari na ushajiuliza angefanya na video zingekuwaje au swali dogo tokea ufuatiliege YouTube, nitajie msanii ambaye audio ya nyimbo yake, ili trend YouTube kwa kushika namba moja japo kwa siku moja tu. Usichokipenda ww usikitie hila. Alafu hizi record za kiba anauza sana audio mnazitoa wapi, marry me imegonga platnumz mara 6,ndani ya miezi 8 (120,000),sasa ushajiuliza ngoma ya NANA iliuza kopi kiasi gani, kwani ilifanya vizuri kwa nchi zinazoongea kifaransa mpaka kushika no 1 iTunes, Burkina faso, hapo bado Kenya na Uganda, na NANA ndio nyimbo ya kwanza ya diamond platnumz kushika no 1 MTV base (wasanii wengine nyimbo zao zilizoshika na moja kutoka Tanzania ni game, Navy kenzo, nusu nusu Joh makini hakuna zaidi ya hao) , na NANA ktk nyimbo bora za mwaka 2015 MTV base ikashika namba tano, MCE ya Kenya 2015 diamond ndie msanii ambaye nyimbo zake zilipata mzunguko kwa kupigwa sana redioni na diamond kuingiza TSh mil 600, huku bahati akishika namba 2 na sauti sol namba tatu. Hivi kk kuwa msomi hebu nitajie chanzo kimoja, kinachosema kwamba kiba anauza zaidi ya diamond platnumz na kwa mwaka huu kama tukipiga mauzo ya single tu basi no 1 wizkid (closer imeuza zaidi 200000 na akapewa hadhi ya silver uingereza), 2 davido, tatu diamond (marry me 120000), ila kaka naomba unitajie REFERENCE na si kuongozwa na hisia nenda sportfy huko kaangalie msanii gani kutoka East Africa anayefanya vizuri, acha kuongozwa na hisia.