Diamond ajifunze kutoa Audio zinazoeleweka

eden kimario hebu, nitajie site moja inayouza video , kama tokea ukimwona inatoka haijawai kutoka ktk chart za iTunes Kenya na haina video, mpaka hivi sasa au basi sijaelewa from your reference nitajie msanii anayeongoza mauzo ya audio Tanzania au unajua nini maana ya ITUNE na mauzo platnumz yana base ktk nini audio au video ,maana tunaweza bishana kumbe uhelewi nilichoandika na kama ukiangalia maelezo yangu yamecontrate ktk audio, labda kama hutaki kuelewa.
 
Bro you killed. Big up
 
Kwel kila mtu na maskio yake mi naona nyimbo zake zote kali labda hiyo ya wakawaka ndo sijaikubali ila diamond fundi
 
Mleta mada anaongelea ubora wa nyimbo/audio au mauzo?
 
Umemaliza kila kitu mahaba yanamuendesha huyo akija kukijibu ulivyouliza nistue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…