Diamond akabidhiwa Bendera na waziri Nape kuelekea ufunguzi wa Afcon2017

Siku hz namshabikia Mondi badala ya T.Stars..
 
Watu wenye akili zao wamekaa wakaona huyo dogo anajua ndo maana wakampa shavu la kupafom lkn kuna viumbe hawajui chochote kuhusu mziki watakuambia jamaa hajui, mara hana sauti, sijui jukwaani mbovu yaani wanaongea ujinga ujinga tu ili mradi kuridhisha nafsi zao.
 
Team Kibaaaaaaaaaaaaaaaaaaa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…