Diamond akabidhiwa Bendera na waziri Nape kuelekea ufunguzi wa Afcon2017

Diamond akabidhiwa Bendera na waziri Nape kuelekea ufunguzi wa Afcon2017

Hongera zake[emoji122][emoji122]
kakabidhiwa viatu vilivyowashinda Taifa stars.

Taifa Stars mna cha kujifunza hapo....
Bendera kakabidhiwa muimbaji, badala ya wachezaji[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
kudhihirisha mmeshindikana[emoji31][emoji31]. aibu gani hii
Siku hz namshabikia Mondi badala ya T.Stars..
 
Watu wenye akili zao wamekaa wakaona huyo dogo anajua ndo maana wakampa shavu la kupafom lkn kuna viumbe hawajui chochote kuhusu mziki watakuambia jamaa hajui, mara hana sauti, sijui jukwaani mbovu yaani wanaongea ujinga ujinga tu ili mradi kuridhisha nafsi zao.
 
Waziri Nape nauye amemkabidhi bendera ya Tanzania msanii Diamond platnumz ambae kesho anaondoka kwenda nchini Gabon kutumbuiza kwenye sherehe za ufunguzi wa michuano ya AFCON itayoanza weekend hii.

Diamond na msanii maarufu Mohombi mwenye asili ya Congo wameshirikiana kutunga official song ya michuano ya Afcon2017 na watatumbuiza nyimbo hiyo kwa Mara ya kwanza siku ya ufunguzi Jumamosi.

Diamond anaweka record ya kuwa msanii wa kwanza kutoka Africa mashariki kutumbuiza kwenye michuano hiyo tangu ianzishwe.

View attachment 458127
Team Kibaaaaaaaaaaaaaaaaaaa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Back
Top Bottom