tinkibiruka mhaya
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 929
- 794
Hahahahahhahah nimecheka kwa herufi kubwakuna watu hapa mav.i yamewabana, kuny.a hawanyi kujamba hawajambi ila ndo hivyo tena wafanye nini!!! Hongera sana diamond, uzidi kubarikiwa!
Wana swaga yao ya siku nyingi iliyokosa promota wanasema " DIAMOND NI MFANYABIASHARA WA MUZIKI SI MWANAMUZIKI" na watakutajia waliowahi kusema hivo, LAKINI CHA AJABU WAO WANAMUZIKI WANAISHIA MOMBASA KUFANYA SHOO,INA MAANA HATA MAPROMOTA WANAOWAITA WASANII KUFANYA SHOO HAWAWAONI WANAMUZIKI WANAMUONA MFANYABIASHA YA MUZIKI.Watu wenye akili zao wamekaa wakaona huyo dogo anajua ndo maana wakampa shavu la kupafom lkn kuna viumbe hawajui chochote kuhusu mziki watakuambia jamaa hajui, mara hana sauti, sijui jukwaani mbovu yaani wanaongea ujinga ujinga tu ili mradi kuridhisha nafsi zao.
hakuna namnaSiku hz namshabikia Mondi badala ya T.Stars..
kwakweli.Diamond watanzania wote tunakupenda sana.. Siku ukifa tutalia sana .
Me naona show kua mbovu au nzuri ni jins ulivo egesha akili yakoOke Tumeona ila asifanye show mbovu kama aliyofanya wiki iliyopita kule Nigeria.