Diamond akabidhiwa Bendera na waziri Nape kuelekea ufunguzi wa Afcon2017

Diamond akabidhiwa Bendera na waziri Nape kuelekea ufunguzi wa Afcon2017

Watu wenye akili zao wamekaa wakaona huyo dogo anajua ndo maana wakampa shavu la kupafom lkn kuna viumbe hawajui chochote kuhusu mziki watakuambia jamaa hajui, mara hana sauti, sijui jukwaani mbovu yaani wanaongea ujinga ujinga tu ili mradi kuridhisha nafsi zao.
Wana swaga yao ya siku nyingi iliyokosa promota wanasema " DIAMOND NI MFANYABIASHARA WA MUZIKI SI MWANAMUZIKI" na watakutajia waliowahi kusema hivo, LAKINI CHA AJABU WAO WANAMUZIKI WANAISHIA MOMBASA KUFANYA SHOO,INA MAANA HATA MAPROMOTA WANAOWAITA WASANII KUFANYA SHOO HAWAWAONI WANAMUZIKI WANAMUONA MFANYABIASHA YA MUZIKI.
 
Hivi hawa wakina Jamal Malinzi hawaoni AIBU kuwa muda bote waliokaa hapo FAT hawajafanya kitu chochote cha maana zaidi ya kwenda kuhudhulia mikutano ya CAF??
 
Hiyo show sasa navomfahamu mond stejin hahhaaa hatar...sana
 
"Kuna vituvitu vya kushobokea, sio hivyo"
in dimpoz voice
 
Back
Top Bottom