Diamond akabidhiwa Bendera na waziri Nape kuelekea ufunguzi wa Afcon2017

Kila la kheri diamond ukawanyooosheeeeee
 
Nasikia kutakuwa na Suprise Artist huko[emoji38]!!
Tumeshajiandaa vya kutosha,sema sisi hatupendi showOff
 
Mbadala wa taifa stars ni nasib . Ndio maana serikali haikaukagi ofisi za wcb.
 
Kuna watu huwa wananunua hizi show hasa hizi za AFCON. Mimi nilishawahi kujaribu sema nikaona ujinga mtupu. (In Ommy Dimpo's voice)
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
kuna watu hapa mav.i yamewabana, kuny.a hawanyi kujamba hawajambi ila ndo hivyo tena wafanye nini!!! Hongera sana diamond, uzidi kubarikiwa!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12]
 
Hawachomozi apa, wataishia kuchungulia na kurudi kwa hasira
 
Ataanza kutumbwiza siku gani na saa ngapi wakuu nimuangalie kijana
 
Si alisemwa humu kuwa atapotea kama Marlaw kisa kashiriki kampeni za uchaguzi.

Kumbe bado yupo??
 
Chibu yuko poa...wabongo hawana kawaida ya kumpongeza mtu.

Anafanya kazi nzuri. ...imefika wakati kusapoti kila kitu kwa maslahi ya taifa. ...

Tusisibiri soka hata tukimpa sapoti Mondi ataitangaza nnchi pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…