Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
how much is Diamond worth?? hawezi kataa hiyo pesa!! kwa influence gani aliyonayo??
Dogo ametosheka na chake atakuwa kaweka historia halafu atakuwa kaithamini sana kazi yake.Kama ni kweli,huyu kijana kakomaa sana.
Mkuu ushahidi ni gazeti hilo hapo unataka ushahidi gani.Kuna ushahidi wowote Lowassa alitaka kumpa pesa!
Kama Lowassa amechafuliwa si aende mahakamani ili kulishitaki gazeti?Kuna ushahidi wowote Lowassa alitaka kumpa pesa!