Diamond akikosea huchekwa, husutwa na kuzodolewa sana lakini Kiba akikosea hutetewa na kupambwa sana

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Chomoka na kichwa cha story hapo hewan mwanawane

Naweka mambo sawa kwanza mimi ni team hapa kaz tu, team mama angelina mabula na team yanga mtoto wa london ilemera boy


Kuna kitu nimekifatilia mda mrefu sana juu ya wasanii wetu wawili ambao ni wabana pua wakubwa
Kiba na dimond

DIMOND akikosea hutukanwa sana na watu huitisha kampen za kumususia et anatukana wananawake mara ooh sijui analinga sana na maneno kibao

Hata kama akitoa ngoma mbaya huchekwa sana na watu humutupia matus ya nguon kwa mama yake na watu huungana kumuzodoa kuwa yeye hawez mziki labda atafute kaz nyingine kama za uganga na unajimu

Kwa kifupi jamaa ndo maana huogopa kuachia ngoma mbaya ili asije kuchekwa maana ana maadui zaid ya mashabiki

KIBA kwanza huyu jamaa huitwa king wa tz jamaa ana saut flan fresh sana na hajawah kuchuja na watu wana mpenda sana hata wasanii wenzake pia wanampenda sana

Jamaa anafanya kweli kwenye game ya bongo mshikaji ana ngoma kali sana hata kama zikipigwa hapa usipotikisa kichwa lazima utachezesha miguu

Kama kawaida ya msanii huwez kutoa ngoma nzur miaka yote

Jamaa akitoaga ngoma mbaya hutetewa sana na hupigiwa promo kishenz na wadau wa mziki na mashabiki na wapenz wa mziki

Watu hujifoce sana kuipoke ngoma na kuifanya kuwa nzur hata kama ni mbaya

Maadui wa domo huungana na kuipigia promo ngoma ya jamaa hata kama ni mbovu

Mshikaji hanaga maneno na mtu kabisa

MIMI NAHISI HAWA WATU WANEKUWAGA WANATOKA MIKOA TOFAUT WATU WANGEHUISHA NA UKABIRA

HAWA WASHIKAJI WANGEKUWA NI DIN TOFAUT WATU WANGEHUSISHA NA UDINI


Ni hayo tu

Mmoja akikosea hupambwa sana na mmoja akikosea huzodolewa kinoma

LONDON BABY, LONDON BOY
 
Kaen mkao wa kula kuipokea ngoma yangu mpya kumbuken niko chin ya uongoz wa hamisa mobetto
 
jamaa post zako zinafanana na kilaza mmoja hivi alikuwa anajiita @K FOR REAL au @shardicole sijui mnaishi kitaa kimoja!
 
Acheni Wasanii wafanye Muziki wao kulingana na vipaji vyao ....Hayo mengine ni uchonganishi tu.....ACHA MAISHA YAENDELEE
 
pole mkuu nahis ulikuwa nchi za nje ndo umerudi, kaka hapa Bongo hakuna msanii anaesimangwa kama king kiba mara hawezi muziki,mara yupo juu kwa sababu ya beef na diamond na mara kadhaa hadi diamond mwenyewe amekuwa akifanya personal attack kwa kiba either kwenye mitandao ya kijamii au kwenye nyimbo bt ukweli unabaki pale kwamba KIBA ni MWANAMUZIKI hatari sana na DIAMOND ni MSANII MAARUFU sana.
 
Mwambie Hamisa akupeleke shule uache uzwazwa.
 
Kwa kweli ni upenzi na ushabiki wa muziki, ila niko kama wengi tu kwamba nawaona wote bomba, mahiri, wamekwiva, najisikia bahati TZ kuwa na wasanii wa muziki kama hawa..
 
wako vizuri ila Dai apongezwe zaidi kwa kuusoma Music na kuona udhaifu wa waliomtangulia akauchukulia kuwa ni fursa then akaitumia hatimaye akatoboa out of Africa. uwezo huu wanao watu wachache sana duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…