Diamond akikosea huchekwa, husutwa na kuzodolewa sana lakini Kiba akikosea hutetewa na kupambwa sana

Diamond akikosea huchekwa, husutwa na kuzodolewa sana lakini Kiba akikosea hutetewa na kupambwa sana

Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Chomoka na kichwa cha story hapo hewan mwanawane

Naweka mambo sawa kwanza mimi ni team hapa kaz tu, team mama angelina mabula na team yanga mtoto wa london ilemera boy


Kuna kitu nimekifatilia mda mrefu sana juu ya wasanii wetu wawili ambao ni wabana pua wakubwa
Kiba na dimond

DIMOND akikosea hutukanwa sana na watu huitisha kampen za kumususia et anatukana wananawake mara ooh sijui analinga sana na maneno kibao

Hata kama akitoa ngoma mbaya huchekwa sana na watu humutupia matus ya nguon kwa mama yake na watu huungana kumuzodoa kuwa yeye hawez mziki labda atafute kaz nyingine kama za uganga na unajimu

Kwa kifupi jamaa ndo maana huogopa kuachia ngoma mbaya ili asije kuchekwa maana ana maadui zaid ya mashabiki

KIBA kwanza huyu jamaa huitwa king wa tz jamaa ana saut flan fresh sana na hajawah kuchuja na watu wana mpenda sana hata wasanii wenzake pia wanampenda sana

Jamaa anafanya kweli kwenye game ya bongo mshikaji ana ngoma kali sana hata kama zikipigwa hapa usipotikisa kichwa lazima utachezesha miguu

Kama kawaida ya msanii huwez kutoa ngoma nzur miaka yote

Jamaa akitoaga ngoma mbaya hutetewa sana na hupigiwa promo kishenz na wadau wa mziki na mashabiki na wapenz wa mziki

Watu hujifoce sana kuipoke ngoma na kuifanya kuwa nzur hata kama ni mbaya

Maadui wa domo huungana na kuipigia promo ngoma ya jamaa hata kama ni mbovu

Mshikaji hanaga maneno na mtu kabisa

MIMI NAHISI HAWA WATU WANEKUWAGA WANATOKA MIKOA TOFAUT WATU WANGEHUISHA NA UKABIRA

HAWA WASHIKAJI WANGEKUWA NI DIN TOFAUT WATU WANGEHUSISHA NA UDINI


Ni hayo tu

Mmoja akikosea hupambwa sana na mmoja akikosea huzodolewa kinoma

LONDON BABY, LONDON BOY
Alitangaza hadharani kuwa ni Mwana Mwana Ccm. Na wengi wa walio kwenye mitandao ya kijamii ni Chadema na Ukawa kwa Ujumla wao!
Wanatumia social netwrk kama kichaka ama kivuli cha kupeperusha ajenda zao za kisiasa.!
mfano mzuri angalia kwanini Mange kimambi kawa maarufu na mashabiki wake wengi wanapenda nini.
then hautapata shida kujua kwanini hawaoni mazuri ya Diamond platnum..
kifupi Upinzani huwa hawana zuri kwao lolote utakalofanya ni baya.
 
Team hazijengi hata Wasafi wakijenga masaki... me nadhani sisi mashabiki ndo chanzo cha either mziki wetu uwe unakubalika internationally or sisi tukose umoja mziki ubaki humu humu tuu, ila naona mafanikio yapo kama kina Yemi Alade na Patorankin e.t.c wanaimba kiswahili ni jambo la Kheri
 
Back
Top Bottom