Diamond akikosea huchekwa, husutwa na kuzodolewa sana lakini Kiba akikosea hutetewa na kupambwa sana

Alitangaza hadharani kuwa ni Mwana Mwana Ccm. Na wengi wa walio kwenye mitandao ya kijamii ni Chadema na Ukawa kwa Ujumla wao!
Wanatumia social netwrk kama kichaka ama kivuli cha kupeperusha ajenda zao za kisiasa.!
mfano mzuri angalia kwanini Mange kimambi kawa maarufu na mashabiki wake wengi wanapenda nini.
then hautapata shida kujua kwanini hawaoni mazuri ya Diamond platnum..
kifupi Upinzani huwa hawana zuri kwao lolote utakalofanya ni baya.
 
Team hazijengi hata Wasafi wakijenga masaki... me nadhani sisi mashabiki ndo chanzo cha either mziki wetu uwe unakubalika internationally or sisi tukose umoja mziki ubaki humu humu tuu, ila naona mafanikio yapo kama kina Yemi Alade na Patorankin e.t.c wanaimba kiswahili ni jambo la Kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…