Diamond akimtosa LIVE Wema kwenye simu

Diamond akimtosa LIVE Wema kwenye simu

Status
Not open for further replies.
Hakika huu ni ushamba wa hal ya juu alionesha diamond! Kama kweli alikuwa na busara kulikuw hakuna haja ya kuweka mambo ya private kwenye mitandao! Hii inasaidia nini kama si utoto? Huu si uanaume kabisa!

Kwani kama angemkatalia tu yakaisha kuna haja gani kuweka mambo haya kwenye mitandao?

Hii yote ni kumdhalilisha tuu mwenzie na hii si nzuri kwa diamond!time will tell.

Hakika huu ni uttoto+ujinga wa ngazi ya shahada amabao kaufanya diamond!

alichofanya ni zaidi ya ushamba.....
Ulimbukeni wa hali ya juu

ujinga to the highest point.....

Halafu anajiita mwanaume ni mwanaume au wa kiume....? Au anatumia naniliu kufikiri.......
 
Wengine wataona alicho fanya ni sawa lakini si utu kabisa na ni zaidi ya ushamba wala si la kuchekelea kabisa! Me namshangaa sana na kwa hili amefika pabaya na huu ni udhalilishaji kabisa! Yani huyu dogo aisee kwa hili amenikera sana!
Aisee huu ni ulimbukeni wa hali ya juu!
alichofanya ni zaidi ya ushamba.....
Ulimbukeni wa hali ya juu

ujinga to the highest point.....

Halafu anajiita mwanaume ni mwanaume au wa kiume....? Au anatumia naniliu kufikiri.......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom