Diamond akipaka wanja!

Wewe acha ushamba wanja unapakwa pia na wanaume ,angalia waarabu wengi wanaupaka,unafaida nyingi mno kwenye macho,labda hilo la kuvua chupi ndio la kustaajabu hapa kwetu Tz,lakini pia nalo nchi nyingine hawatalistaajabu kwa sasa,sanasa watakustaajabu wewe unayelistaajabu.
 
:confused2::confused2::confused2: loading..........! nitarudi!
 
Na wewe unapaka wanja au una-mapenzi yaliyopitiliza kwa Diamond? Tuwe wazi kama kitu hakikubaliki katika mila na desturi yetu na kikafanywa na umpendae kubali kusema nampenda ila hapa kapotoka,Si mapenzi yanazidi hadi yakufanya unakuwa zoba.
 
hehehehehehe ndo maana yake chakula atakuwa huyu
 
Hivi hawa mastaa si wanaliwa ga migongo na yule mwarabu mzee wa t.o....alieibwa na mista naisi,duli nae nasikia ga alishatafunwa na mpita njia,mwenye kujua zaidi atuhakikishie hapa.

Tapeli Balabala buuu!!
 
issue sio mapenzi kwa huyo diamond infact huyo nimemjulia humu ndani baada ya watu kumpa shouts humu,nimetembea kwenye nchi za waarabu hilo jambo nikaliona na siku ya kwanza nilishtuka kama wewebaadaye nikafahamu undani wake,wanasema hata mtume MUHAMMAD (S.A.W),Alikuwa akiupaka ku macho yake,angalia siku za Eid uone waislamu wakiume wanavyoupaka ni sunnah!ndio maana nikasema hilo la wanja sio ajabu la ajabu ni la kuvua chupi,nisome vizuri ndio uje na utumbo wako au anaona raha tu kutaype.usikurupuke ni bora ukae kimya kuliko kuongea watu wakaona ujinga wako!
 
Yarab toba! Au biashara aliyoitangaza wakati wa Fiesta imeshaanza KuliPa.
 
Isambe, unavyomtetea diamond wengi tutakuwa na mashaka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…