Diamond akirap kwenye beat ya "All The Way Up"

DIAMOND alianza ku rap kabla ya kubadilika na kuanza kuimba,wimbo ambao ninaoukumbuka ni,DIAMOND FT HEMED (PHD) I HATE YOU.
 
Nimeona diamond akiflow kwenye beat ya nyimbo ya all the way up inaweza zani ni rapper mzoefu kwenye gemu
Kijana ni kiraka anaimba mziki wa aina yoyote
Big talent
Mkuu Umeona au Umesikia..!! Sijajua kama kuna video clip inayomwonyesha...kama ipo nisaidie link nimcheki..ila kama ni audio tunazo mkuu[emoji1]
 
"Wanajenga majungu ni najenga vibanda....." Hahahaaaaaaa, kazi kwao timu kibakuli!!! [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
I am not Diamond fan although am in lv with good music, this one is Good Music he killed it!
Nlishaanza kumshtukia kua anauwezo mzuri wa ku rap tangu kwenye ngoma ya zigo remix akiwa na A. Y. Among the best artist we have been blessed in our country!.
 
Waambie dada zao kariakoo wake ulaya...!!hii ni jungu kwa kina wallai..!!kaaribu nyimbo ya watu mwanzoni alianza vizuri uko mbele kaimba ugoro...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…