PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawai mkuuAlianza na jisachi hukuwai kuisikia nini???
AaahOoh Diamond wangu.
Diamond aisee yaan anajua mpaka anakeraNimeona diamond akiflow kwenye beat ya nyimbo ya all the way up inaweza zani ni rapper mzoefu kwenye gemu
Kijana ni kiraka anaimba mziki wa aina yoyote
Big talent
Mkuu Umeona au Umesikia..!! Sijajua kama kuna video clip inayomwonyesha...kama ipo nisaidie link nimcheki..ila kama ni audio tunazo mkuu[emoji1]Nimeona diamond akiflow kwenye beat ya nyimbo ya all the way up inaweza zani ni rapper mzoefu kwenye gemu
Kijana ni kiraka anaimba mziki wa aina yoyote
Big talent
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Diamond mbwa aisee yaan anajua mpaka anakera