Diamond akiri kumpenda Omotola wa Nigeria

Diamond akiri kumpenda Omotola wa Nigeria

Diamond kwa kik hajambo, ila zinamsaidia kumpandisha daraja, kesho atasema anampenda mke wa rais ilimradi tu tuongee ha ha ha kazi na dawa, huku kazi huku maneno....go diamond gooo

weeeeeeweeeeeee akisema hivyo tu anaenda ungana na babu seya
 
Halafu watu wanashimdwa kujua source ya hii habari ni global publishers......ukifuatilia utaona diamond hajatamka popote zaidi ya kusema kwa mujibu wa chanzo cha karibu sana na diamond....kwa mtindo huu,magazeti ya udaku yataendelea kuuza sana kama hatuwez kuchuja mada

Na uzuri wasomaji wake hawapendi kuchuja mada, ukichuja tu umewapoteza
 
Mind games zimeshaanza. Diamond asipoangalia statement anazotoa na wakati husika zitaharibu ndoto zake. Sifikirii kama kweli ameongea kuwatamani mpaka sasa ingawa anaweza kuwa muwazi kuwa aliwahi wapenda.

Wenzetu wanajua sana kutumia media kukuangusha. Hasa kipindi hiki ambacho amekuwa nominated kwenye awards na wakali wa Nigeria. Management ya Diamond iliangalie hili sio kula hela tu.
 
Aha!ha!ha!ha!kwani shing ngapi bwanah!kizuri kula na nduguyooo!huku Zari analea huku Wifi Omotola tunamuachanisha na mumewe
Kwa taarifa yako hii kapo naiombea usiku na mchana isivunjike lol....
 
Omotola maji marefu hayo!! Shule ndeefu, pesa ndefuu na Ndomo ataota sana... Uwezo wake ni kwa huyo huyo mganda hawezi vuka zaidi ya hapo!!!
 
Omotola maji marefu hayo!! Shule ndeefu, pesa ndefuu na Ndomo ataota sana... Uwezo wake ni kwa huyo huyo mganda hawezi vuka zaidi ya hapo!!!
Dushelele haina cha pesa wala shule...ni mti tu eeh yani mti tu!!!
 
Omotola ni next level aisee ni maarufu ana hela ndefu na ni moja ya ma actress wenye hela na mume tajiri. Yeye aendelee na Bongo movie na mademu wa EA kule ni ngumu. Omo sex haitaji kiki mbuzi
 
Omotola maji marefu hayo!! Shule ndeefu, pesa ndefuu na Ndomo ataota sana... Uwezo wake ni kwa huyo huyo mganda hawezi vuka zaidi ya hapo!!!

Teh teh ma actress wa Nollywood wanajiheshimu aisee yeye aendelee na wa EA.
 
Hahahaa, Dangote bna... Anazngua, na Zari utamuachia nan...
 
Omo sex!chuma kipo uzuri hichoo.Inawezekana kaongea mapenzi ya kawaida tatizo source ya hii khabari ndo imeharibu kila kitu.
 
Omotola ni next level aisee ni maarufu ana hela ndefu na ni moja ya ma actress wenye hela na mume tajiri. Yeye aendelee na Bongo movie na mademu wa EA kule ni ngumu. Omo sex haitaji kiki mbuzi

Yaani kama kweli diamond kasema hivo basi kiki zake za kimaku maku! Hivi OMO SEX huyu alivyo matawi zamaradi kajitiaga kumuuliza kama anamjua KANUMBA akasema hajawahi hata msikia! Anaweza kuwa analiwa sana tu lakini hakika sio kwa level za diamond, yaani yeye kumpata ZARI bac anaona anaeza pata demu yeyote! Yeye asubiri akwanguliwe vijisenti vyake then ndukii arudi tena kwa MUHESHIMIWA buana.
 
Back
Top Bottom