Diamond kwa kik hajambo, ila zinamsaidia kumpandisha daraja, kesho atasema anampenda mke wa rais ilimradi tu tuongee ha ha ha kazi na dawa, huku kazi huku maneno....go diamond gooo
Halafu watu wanashimdwa kujua source ya hii habari ni global publishers......ukifuatilia utaona diamond hajatamka popote zaidi ya kusema kwa mujibu wa chanzo cha karibu sana na diamond....kwa mtindo huu,magazeti ya udaku yataendelea kuuza sana kama hatuwez kuchuja mada
Kwa taarifa yako hii kapo naiombea usiku na mchana isivunjike lol....Aha!ha!ha!ha!kwani shing ngapi bwanah!kizuri kula na nduguyooo!huku Zari analea huku Wifi Omotola tunamuachanisha na mumewe
sio geto yupo home sweet home...Chibu yuko juu kiba bdo anaishi gheto
Dushelele haina cha pesa wala shule...ni mti tu eeh yani mti tu!!!Omotola maji marefu hayo!! Shule ndeefu, pesa ndefuu na Ndomo ataota sana... Uwezo wake ni kwa huyo huyo mganda hawezi vuka zaidi ya hapo!!!
sio geto yupo home sweet home...
Mwache awale tu, bado mdogo anakula ujana. Akikua atatulia.
Omotola maji marefu hayo!! Shule ndeefu, pesa ndefuu na Ndomo ataota sana... Uwezo wake ni kwa huyo huyo mganda hawezi vuka zaidi ya hapo!!!
Mke wa Major General huyo atakutana na AK47
Kwa taarifa yako hii kapo naiombea usiku na mchana isivunjike lol....
Omotola maji marefu hayo!! Shule ndeefu, pesa ndefuu na Ndomo ataota sana... Uwezo wake ni kwa huyo huyo mganda hawezi vuka zaidi ya hapo!!!
Hahahaa, Dangote bna... Anazngua, na Zari utamuachia nan...
Omotola ni next level aisee ni maarufu ana hela ndefu na ni moja ya ma actress wenye hela na mume tajiri. Yeye aendelee na Bongo movie na mademu wa EA kule ni ngumu. Omo sex haitaji kiki mbuzi