heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
View attachment 112590
Tumefika salama in Malaysia tayari kwa show atakayoifanya Prince of bongo fleva & CEO of WCB, Ngololo master, Diamond.
Na pic hiyo ni sehem ya chumba alimofikia 9anaonekana kwa mbali)
Updates zote za picha ntakuwa nawawekea.