Mkubwa ndevu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,045
- 358
Big up D
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na bado..naongeza zingine
Ebu kamjibu mwenzako wa form 4(2010) kauliza jux na uyo mmeo nani anajua kuvaa
Unatakiwa ujue hatua kwa hatua,mefikia wapi mpka onyesho lenyewe
Sijaelewa kitu hspa bado, labda mlets mada hajawahi kulala Hotel. sisi tunaolala Hotel kwenye room za Presidential suite sijui tusemeje!! keeli ulimbukeni mbaya sana.
huu utoto wa kutukana wenzenu sijui mtaacha lini? hivi wewe ulijiumba? acheni kuiharibu jf.
Ebu kamjibu mwenzako wa form 4(2010) kauliza jux na uyo mmeo nani anajua kuvaa
Telll them,tatizo watanzania wana wivu sana wa kike,hawapend maendeleo ya mtuHumu jf kila mtu anajifanya msomi sana. Huo nao ni ulimbukeni. Kitu gani mnacho ambacho binadamu mwingine hana? Wanaowaajiri kwenye company zao ndio hao hao waliofeli form 4 na darasa la saba. Mimi mwenyewe ni std 7 na napiga deal za ukweli kuliko hata wanaozunguka na mavyeti kwenye ofisi za watu. Na nimezunguka nchi kibao tu na marafiki wengi kila sehemu. Ni lugha tu zinanisaidia. Familia zetu zinapata huduma zote wanazohitaji. Ni hayo tu!
Mkuu inaelekea wewe huwa unalala kwenye maguest house na mahostel. mbona hiyo room ni ya kawaida sana? sanasana inaweza kuwa level ya executive room.
Watanzania bana,me nimetoa taarifa kuwa
mwanamzik wa Tanzania,Diamond na WCB wameshafika nchini Malaysia
Tayari kwa kufanya concert kesho.na hapo
hajiwakilishi yeye tu,anatangaza na kuwakilisha nchi yetu pia
watu wanaanza kujadili,kuponda kitanda/chumba duuh
siyo kila mnikosoayo sifanyii kazi