heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
hongera leo umetumia lugha fasaha,nadhani ulikwenda kozi kidogo ya lugha yetu,kila la heri tunamtakia
Mkuu inaelekea wewe huwa unalala kwenye maguest house na mahostel. mbona hiyo room ni ya kawaida sana? sanasana inaweza kuwa level ya executive room.the guy is going places..congrats
Sijaelewa kitu hspa bado, labda mlets mada hajawahi kulala Hotel. sisi tunaolala Hotel kwenye room za Presidential suite sijui tusemeje!! keeli ulimbukeni mbaya sana.
hapo chachaa kamanda inaonekana akilala belela presidential suite angeota alooo..mbona chumba cha kawaida sana hicho,japo dongo anaitaji pongezi ana jua kuingiza pesaSijaelewa kitu hspa bado, labda mlets mada hajawahi kulala Hotel. sisi tunaolala Hotel kwenye room za Presidential suite sijui tusemeje!! keeli ulimbukeni mbaya sana.
Mkuu inaelekea wewe huwa unalala kwenye maguest house na mahostel. mbona hiyo room ni ya kawaida sana? sanasana inaweza kuwa level ya executive room.
Watanzania bana,me nimetoa taarifa kuwa
mwanamzik wa Tanzania,Diamond na WCB wameshafika nchini Malaysia
Tayari kwa kufanya concert kesho.na hapo
hajiwakilishi yeye tu,anatangaza na kuwakilisha nchi yetu pia
watu wanaanza kujadili,kuponda kitanda/chumba duuh

Na wewe ndo umewapa cha kuongea,kulikua na haja gani ya kuweka iyo picha ya sehemu atakayo lala?????????
Kila la kheri kwenye show yenu.
Sijaelewa kitu hspa bado, labda mlets mada hajawahi kulala Hotel. sisi tunaolala Hotel kwenye room za Presidential suite sijui tusemeje!! keeli ulimbukeni mbaya sana.