Diamond akiwa Malaysia

huu utoto wa kutukana wenzenu sijui mtaacha lini? hivi wewe ulijiumba? acheni kuiharibu jf.
 
Ebu kamjibu mwenzako wa form 4(2010) kauliza jux na uyo mmeo nani anajua kuvaa
 
Ebu kamjibu mwenzako wa form 4(2010) kauliza jux na uyo mmeo nani anajua kuvaa

Ei ei ei jamani ee naombeni msaada kwenye mataa, hivi Tanzania tumesharuhusu ndoa za jinsia moja? Unless mniambie huyu heven on dizet ni wa kike nitakua nime-clear doubts.
 
Ushamba tu japo Kua huna migomba kichwan hizo ni style za hunters, viongoz wetu wameturithisha mengi yakiwemo majivuno na sifa za kufaidika kupitia ngao wafuas hiiiiii ndooo Tanzania mtoto anafata kwa baba hahahaha msijisahau mkapitisha show yenu kwa hiko kitanda ulichokiwakilisha.
 
Unatakiwa ujue hatua kwa hatua,mefikia wapi mpka onyesho lenyewe

Jhesuz,ni kweli ayo uyasemayo???????????kama ni hivyo basi wallah tutamchoka uyo Diamond,hatua kwa hatua ili iweje?????????????mbona wakati mnatoka home hadi mkafika airport hukusema sasa kama ndio tunatakiwa kujua hatua kwa hatua???????????
 
Sijaelewa kitu hspa bado, labda mlets mada hajawahi kulala Hotel. sisi tunaolala Hotel kwenye room za Presidential suite sijui tusemeje!! keeli ulimbukeni mbaya sana.

Nimejiuliza the same question
 
Huyu mtoto mchelemchele wali mafta!almasi anajipakia mafuta then anapiga ngololo tu kama kawa,chezea kutatuliwa rinda wewe kila kitu utaandika,
 
huu utoto wa kutukana wenzenu sijui mtaacha lini? hivi wewe ulijiumba? acheni kuiharibu jf.

Mkuu, mbona D inaweza kusimama kama kifupi cha Diamond? kwanini wewe ufikilie kua ni Domo au wewe ndio unamtukana?
 
Ebu kamjibu mwenzako wa form 4(2010) kauliza jux na uyo mmeo nani anajua kuvaa

What's wrong with form 4? Mama yangu hana hata kidato kimoja,lakini yuko very organised kwenye mambo yake labda kuliko hata wewe msomi.
 
Humu jf kila mtu anajifanya msomi sana. Huo nao ni ulimbukeni. Kitu gani mnacho ambacho binadamu mwingine hana? Wanaowaajiri kwenye company zao ndio hao hao waliofeli form 4 na darasa la saba. Mimi mwenyewe ni std 7 na napiga deal za ukweli kuliko hata wanaozunguka na mavyeti kwenye ofisi za watu. Na nimezunguka nchi kibao tu na marafiki wengi kila sehemu. Ni lugha tu zinanisaidia. Familia zetu zinapata huduma zote wanazohitaji. Ni hayo tu!
 
Telll them,tatizo watanzania wana wivu sana wa kike,hawapend maendeleo ya mtu
 
jamani hata mimi diamond simpendi,,,,lakini ndo hvyo.. Anatisha.
 
Mkuu inaelekea wewe huwa unalala kwenye maguest house na mahostel. mbona hiyo room ni ya kawaida sana? sanasana inaweza kuwa level ya executive room.

Mkuu tushajua unalala presidential suite .. Tutakuanzishia thread .. ACHA tumjadili dimond kwanza
 

Achana nao wamejisahau wapo jukwaa gani ..
 

Hii picha imenifanya nicheke mpaka my wife kaamka na kuniuliza nacheka nini, nilipomuonyesha nae ameangua kicheko na usingizi wote umemuisha, kweli jf ni kiboko ya matatizo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…