Diamond akiwa ndani ya private jet akielekea Mwanza

Diamond akiwa ndani ya private jet akielekea Mwanza

Mkuu hizi ni tshs ngapi?!

Nimeduwaa for sure!

Dolla elfu 7000? Kazitoa wapi jamaa?

Aisee hamna msanii yeyote tz mwenye hizi pesa walahi!

hapo ni karibia M10 na vipoint vyake. sasa sijui kwenye hiyo show analipwa bei gani. anyaway hii ndio Tanzania ni zaidi ya uijuavyo
 
do u think n mjinga kias hicho yan afanye show ya g
hasara kisa??
we unafaham walikua na mkataba gan na waandaaji??usijudge usilolijua
we mama naona kazi hiyo umevamia,uwe mwepesi wa kuelewa hoja na jaribu kufafanua kwa kutumia majibu yenye akili.sio kila mtu yuko critic kwa diamond,by the way huyo diamond ni nani.wewe na yeye wote mafala tu ingawa yeye anakulisha hapo mjini.tafuta kazi kiume we bwabwa kuliko kazi hiyo ya upambe utaishia kuliwa kisoda tu kila siku.
diamond,diamond blah blah we vp we mtoto wa kiume unakuwa ------ senge kiasi hicho
 
NADHANI dayamondi ali kodisha private jet ili apigie picha na si kusafiria
 
Hapo ndio tunapoona matumizi mabaya ya fedha.je Show ya mwanza itamlipa kiasi arudishe nauli yake.ama ndo yale yale unatumia dola 10000 huku malipo ya show dola 5000

Huyo dogo yupo kidigital, anasain contract 2 na lazima apaform zote sio wale wasanii wa kutapeli tapeli kuwa nakuja then hana njia ya kumfikisha anakotakiwa kuwa, fuatilia maonyesho yake ndio utafunguka vizuri, maana mmezoeza kumuita freemason, hamuoni dogo anavyojituma, km huoni uoni juhidi zake basi we ni mchawi!
 
unabishana na huyu standard seven wa shule ya kata...ukitaka kumuweza badili lugha kwenda English uone atakavyotokwa na povu...

Ww ndiye darasa la 7 la kata, unaongea bila kufanya kautafit kadogo ambako hata mtoto wangu wa darasa la pili hawezi kuongea cha pumba km unachoongea wewe, huyu unaemuita wa darasa yuko vizur kuliko wa Chuo!
 
mti wenye matunda..afu ujue tz wenye shida n weng so wamwonapo mtu hupo step flan zid yao..
hasira zote huhamishia kwake..kwan diamond kakosea nn mpaka baadhi ya watu wamchukie?

Acha kashfa dogo hawa maskini unaowasema ndo wanaonunua CD za huyo boss wako na ww unapata mshahara ndo wanaohudhuria shows za boss wako ndo wanaotumia nyimbo za boss wako kama caller tunes au ring tones ambayo ni mapato ya boss wako! So nakushauri unaposimama kwenye audience ukiwa kama msemaji wa Diamond basi chagua nin cha kusema na ukisemeje!
Otherwise kama ni mmoja wa watu wanaojipendekeza na kujidai wanafanya kazi na huyu msanii basi njoo ubwate hovyo coz kwako ni umaarufu na si kazi!
 
mngejua maisha ya diamond basi tu..sio mtu wa starehe kabisa..pesa yake nying huitumia kuboresha kaz zake..kama hapo kakodi private jet kwa dola 7000 ili awahi show mwanza katumia pesa yake mwenyewe...
pia pesa yake nying huutumia kwa chakula nyumban na mafuta ya gari..zinazobk ana invest sana..na mngejua mirad mikubwa aliyo nayo cjui mgesemaje...time will tell subirin tu ntajionea..
so diamond mtoane kabisa kwenye kund la watumia pesa vibaya..

mmmh habari yako ina utata unajua dola 7000 ni zaidi ya mil 10.... je iyo show yeye analipwa sh ngapi? anawalipaje watu wake na anabakiwa na sh ngapi? kama sikosei aliwai kuhojiwa anafanya show moja kwa mil 10?? kama equation hai balance vile embu tuchanganulie hapa!!!
 
Kama kakodi jet kwa Tsh 10,958,500 duh sijui atakua analipwa Tsh ngapi per show? Hongera sana Platnumzz
Huwa anasema halipwi chini 15 million na hapo asubuhi yake alikuwa kafanya show mpaka saa 12 jioni hivyo lazima utaratibu wa kukodi ndege uwepo maana kapiga show Dar na Mwanza kwa siku moja
 
Huyo dogo yupo kidigital, anasain contract 2 na lazima apaform zote sio wale wasanii wa kutapeli tapeli kuwa nakuja then hana njia ya kumfikisha anakotakiwa kuwa, fuatilia maonyesho yake ndio utafunguka vizuri, maana mmezoeza kumuita freemason, hamuoni dogo anavyojituma, km huoni uoni juhidi zake basi we ni mchawi!
Dogo inaelekea ana timu nzuri ya washauri kwenye kazi zake maana hapa anaonyesha kujali kazi yake hata siku nyingine utataka kufanya nae kazi hivyo mwisho wa siku hata hizo hela alizokodi zitarudi, siku hiyo asubuhi alifanya onyesho Dar mpaka saa 12 na kutoa zawadi kwa watoto kwa kuwasomesha shule zile za mumy and dady mpaka watakapomaliza std 7 na jioni yake alikuwa na onyesho Mwanza hivyo kukodi ndege ndio option pekee hasa ukizingatia ndege za kwenda Mwanza ya mwisho ni saa moja jioni pia ukiitegemea maana yake utafanya kazi ili umalize badala ya kukidhi mahitaji ya washabiki wako.
 
Si kila abiria hapo unaona ana seat yake hasa ukizingatia unakodi ndege kulingana na idadi ya watu ulionao


whichever way u look at it, ndege ni nyembamba sana........hakuna comfortability hapo, hata mikono huezi nyoosha upande-upande
 
whichever way u look at it, ndege ni nyembamba sana........hakuna comfortability hapo, hata mikono huezi nyoosha upande-upande
Kwa ujumla ndege hata iwe kubwa kiasi gani seat huwa ndio za design hiyo labda kama zile za ma-don huwa zinatengenezwa kwa matumizi maalumu kwa ajili ya wenye nazo, Fastjet wanatumia ndege kubwa aina ya Airbus (seat watu watatu kila upande), Precision air walikuwa wana Boeing 737 (watu watatu kila upande) pamoja na ATR (watu wawili kila upande), ukilinganisha hizo ndege ambazo ni kubwa ambazo watz wengi including huyo Diamond hutumia utagundua kwamba hiyo ndege ni comfortable japo ipo ndogo maana seat unakaa mwenyewe tu kuliko kubwa ambazo ukikaa kama ni seat ya dirishani au katikati hujiachii sana hasa ukizingatia seat za ndege huwa si kama bus zina nafasi nzuri ya kunyoosha miguu, kibongobongo hiyo ndege ipo sawa unless tumfananishe dogo na kina Kanye West (kwa msingi huu wa kumfananisha na kina Kanye West nakubaliana na wewe hiyo ndege haina confortability but kitanzania zaidi hiyo ndege ipo poa kabisa)
 
Back
Top Bottom