Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
hiyo private jet kaikod kwa pesa yake mwenyewe...dolla elfu 7000
Mkuu hizi ni tshs ngapi?!
Nimeduwaa for sure!
Dolla elfu 7000? Kazitoa wapi jamaa?
Aisee hamna msanii yeyote tz mwenye hizi pesa walahi!
Duh! Mashaka matupu!ucjali ..he will never marry her...
hapo ni karibia M10 na vipoint vyake. sasa sijui kwenye hiyo show analipwa bei gani. anyaway hii ndio Tanzania ni zaidi ya uijuavyo
we mama naona kazi hiyo umevamia,uwe mwepesi wa kuelewa hoja na jaribu kufafanua kwa kutumia majibu yenye akili.sio kila mtu yuko critic kwa diamond,by the way huyo diamond ni nani.wewe na yeye wote mafala tu ingawa yeye anakulisha hapo mjini.tafuta kazi kiume we bwabwa kuliko kazi hiyo ya upambe utaishia kuliwa kisoda tu kila siku.do u think n mjinga kias hicho yan afanye show ya g
hasara kisa??
we unafaham walikua na mkataba gan na waandaaji??usijudge usilolijua
ucjali ..he will never marry her...
Hapo ndio tunapoona matumizi mabaya ya fedha.je Show ya mwanza itamlipa kiasi arudishe nauli yake.ama ndo yale yale unatumia dola 10000 huku malipo ya show dola 5000
unabishana na huyu standard seven wa shule ya kata...ukitaka kumuweza badili lugha kwenda English uone atakavyotokwa na povu...
hata wenzako wanaoKAZWA kwa nyuma wanamaisha mazuri....RUDI SHULE DOGO...
mti wenye matunda..afu ujue tz wenye shida n weng so wamwonapo mtu hupo step flan zid yao..
hasira zote huhamishia kwake..kwan diamond kakosea nn mpaka baadhi ya watu wamchukie?
mngejua maisha ya diamond basi tu..sio mtu wa starehe kabisa..pesa yake nying huitumia kuboresha kaz zake..kama hapo kakodi private jet kwa dola 7000 ili awahi show mwanza katumia pesa yake mwenyewe...
pia pesa yake nying huutumia kwa chakula nyumban na mafuta ya gari..zinazobk ana invest sana..na mngejua mirad mikubwa aliyo nayo cjui mgesemaje...time will tell subirin tu ntajionea..
so diamond mtoane kabisa kwenye kund la watumia pesa vibaya..
Huwa anasema halipwi chini 15 million na hapo asubuhi yake alikuwa kafanya show mpaka saa 12 jioni hivyo lazima utaratibu wa kukodi ndege uwepo maana kapiga show Dar na Mwanza kwa siku mojaKama kakodi jet kwa Tsh 10,958,500 duh sijui atakua analipwa Tsh ngapi per show? Hongera sana Platnumzz
Dogo inaelekea ana timu nzuri ya washauri kwenye kazi zake maana hapa anaonyesha kujali kazi yake hata siku nyingine utataka kufanya nae kazi hivyo mwisho wa siku hata hizo hela alizokodi zitarudi, siku hiyo asubuhi alifanya onyesho Dar mpaka saa 12 na kutoa zawadi kwa watoto kwa kuwasomesha shule zile za mumy and dady mpaka watakapomaliza std 7 na jioni yake alikuwa na onyesho Mwanza hivyo kukodi ndege ndio option pekee hasa ukizingatia ndege za kwenda Mwanza ya mwisho ni saa moja jioni pia ukiitegemea maana yake utafanya kazi ili umalize badala ya kukidhi mahitaji ya washabiki wako.Huyo dogo yupo kidigital, anasain contract 2 na lazima apaform zote sio wale wasanii wa kutapeli tapeli kuwa nakuja then hana njia ya kumfikisha anakotakiwa kuwa, fuatilia maonyesho yake ndio utafunguka vizuri, maana mmezoeza kumuita freemason, hamuoni dogo anavyojituma, km huoni uoni juhidi zake basi we ni mchawi!
mbona wamebanana hivoo?? hakuna kubwa kubwa kidogo au ndo kibongobongo?
Si kila abiria hapo unaona ana seat yake hasa ukizingatia unakodi ndege kulingana na idadi ya watu ulionao
mkuu umeelewa lakini nilichoongea?
dola elfu 7000 na dola elfu 7, hizo digit ni sawa?
Kwa ujumla ndege hata iwe kubwa kiasi gani seat huwa ndio za design hiyo labda kama zile za ma-don huwa zinatengenezwa kwa matumizi maalumu kwa ajili ya wenye nazo, Fastjet wanatumia ndege kubwa aina ya Airbus (seat watu watatu kila upande), Precision air walikuwa wana Boeing 737 (watu watatu kila upande) pamoja na ATR (watu wawili kila upande), ukilinganisha hizo ndege ambazo ni kubwa ambazo watz wengi including huyo Diamond hutumia utagundua kwamba hiyo ndege ni comfortable japo ipo ndogo maana seat unakaa mwenyewe tu kuliko kubwa ambazo ukikaa kama ni seat ya dirishani au katikati hujiachii sana hasa ukizingatia seat za ndege huwa si kama bus zina nafasi nzuri ya kunyoosha miguu, kibongobongo hiyo ndege ipo sawa unless tumfananishe dogo na kina Kanye West (kwa msingi huu wa kumfananisha na kina Kanye West nakubaliana na wewe hiyo ndege haina confortability but kitanzania zaidi hiyo ndege ipo poa kabisa)whichever way u look at it, ndege ni nyembamba sana........hakuna comfortability hapo, hata mikono huezi nyoosha upande-upande