Diamond akutana na kufanya mazungumzo na meneja wa Trey Songz

Diamond akutana na kufanya mazungumzo na meneja wa Trey Songz

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
dvgfg.jpg

Pichani ni Diamond akiwa na meneja wa Trey Songz, Estelle, Big Sean etc

Pichani ya chini jamaa akiwa na Nicki Minaj
 
sasa hiyo picha ya pili inahusika vipi na habari hii? yani wewe ni bure kabisa.

Nilizani kule umeteleza....Nimeunganisha dot sasa,nimejua we ni mtu wa aina gani..wivu wa kike umekujaa.we kama hujaelewa ungepiga kimya tu..waelewa wanaelewa..ngoja nikuache
 
Kama Diamond
yeye ndiye amezungumza na huyo jamaa watakuwa hawajaelewana !

Kama wamezungumza tuwekee conversation text hapa !
Ata audio ukiweza !

Zaidi ya hapo watakuwa walipiga picha tu !
 
Weka link moja kwa moja
 
mh kwa diamond lolote lile lawezekana. si mnakumbuka kwenye harusi ya P Square? Aliomba tu kupiga picha halafu stori zikawa kibao!
 
So yupo na meneja wa shoga halafu anatabasamu?.. Ee mungu mtoe salama kijana wetu kutoka kwenye mikono ya huyu bazazi.
 
Tatizo letu wabongo tukipiga nao tu picha tunaleta habari ambazo tunazijua sisi,mbona kule IG kaweka hii picha na hajaleta hizi mbwembwe.
Tujikumbushe kidogo:-
ImageUploadedByJamiiForums1401741923.345617.jpgImageUploadedByJamiiForums1401741948.146320.jpg
Na tulidanganyana kua Ray C anafanya collabo na Ja Rule tena kamfunika Ashanti.
 
Ay afanya mazungumzo na Eve soon kufanya collabo ndani ya mwezi june
 

Attachments

  • ay_eve.jpg
    ay_eve.jpg
    108.8 KB · Views: 254
Back
Top Bottom