heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa hiyo picha ya pili inahusika vipi na habari hii? yani wewe ni bure kabisa.
sasa hiyo picha ya pili inahusika vipi na habari hii? yani wewe ni bure kabisa.
sasa hiyo picha ya pili inahusika vipi na habari hii? yani wewe ni bure kabisa.
View attachment 162119
Pichani ni Diamond akiwa na meneja wa Kina Trey Songs,Estelle,Big Sean..etc
pic ya chini Jamaa akiwa an Nick minaji
.
Tatizo letu wabongo tukipiga nao tu picha tunaleta habari ambazo tunazijua sisi,mbona kule IG kaweka hii picha na hajaleta hizi mbwembwe.
Tujikumbushe kidogo:-
View attachment 162172View attachment 162173
Na tulidanganyana kua Ray C anafanya collabo na Ja Rule tena kamfunika Ashanti.
Kuna kolabo nyingi mkuu sasa sijui walikuwa wanamaanisha kolabo ipi?
Kuna kolabo nyingi mkuu sasa sijui walikuwa wanamaanisha kolabo ipi?