Lakini mkuu hapa na mimi nimechanganyikiwa hiyo picha ya 2 au na mimi pia mgeni?:music::music:sasa hiyo picha ya pili inahusika vipi na habari hii? yani wewe ni bure kabisa.
Ay afanya mazungumzo na Eve soon kufanya collabo ndani ya mwezi june
Nilizani kule umeteleza....Nimeunganisha dot sasa,nimejua we ni mtu wa aina gani..wivu wa kike umekujaa.we kama hujaelewa ungepiga kimya tu..waelewa wanaelewa..ngoja nikuache
Hapo picha ya pili ni hivi:
Ikiwa A=B, B= C, Basi A=C.
Ikiwa Diamond ameongea na huyo meneja, Huyo meneja ameongea na Niki Minaji, Basi Diamond ameongea na Niki Minaji