Diamond akutana na kufanya mazungumzo na meneja wa Trey Songz

Diamond akutana na kufanya mazungumzo na meneja wa Trey Songz

attachment.php
 
Hapo picha ya pili ni hivi:

Ikiwa A=B, B= C, Basi A=C.

Ikiwa Diamond ameongea na huyo meneja, Huyo meneja ameongea na Niki Minaji, Basi Diamond ameongea na Niki Minaji
 
Yaaani Almasi ndo alikuwa anabonga na Mnyamwezi???? Kumbe Ingilishi kozi ya Madam imesaidia eeeehhh!!!!!(jokes):focus: Mkuu hayo mazungumzo yalikuwa yanahusiana na nini Yaani nmaanisha lengo hasa la hayo mazungumzo
 
Nilizani kule umeteleza....Nimeunganisha dot sasa,nimejua we ni mtu wa aina gani..wivu wa kike umekujaa.we kama hujaelewa ungepiga kimya tu..waelewa wanaelewa..ngoja nikuache

We jamaa leo nakueleza jambo hili, na huwa nikieleza kwa namna yoyote huwa ndivyo ilivyo. Hutakaa ufanikiwe hata kidogo katika maisha yako ya hapa duniani.
 
Hapo picha ya pili ni hivi:

Ikiwa A=B, B= C, Basi A=C.

Ikiwa Diamond ameongea na huyo meneja, Huyo meneja ameongea na Niki Minaji, Basi Diamond ameongea na Niki Minaji

hiiii hi hii hiiii equation imebalance
 
Back
Top Bottom