Diamond akwaa skendo nyingine ya kutembea na Mia

Diamond akwaa skendo nyingine ya kutembea na Mia

Wekeni ka picha kake na sisi tulioko chato tukathaminishe
 
Kumbe ni sifa kulala na mwanaume halafu ukautangazia umma?
Watoto wa siku hizi hawana aibu kabisa!
 
Alinipigia simu niende madale saa nne usiku na nilipofika ni lilala naye ,just like that? Huyu mzima kweli?
 
Kwa hyu msanii skendo nyingi zinakuja kwa ajili ya kufunika skendo kuu 'Mwanachama wa Freemason'
 
Madada mnajirahisi sana yaani kupigiwa simu tu hata kabla ya kutongozwa unaenda kugongwa!!!!
Kweli sasa ni mapenzi ya digitali ngoja na Mimi nije nimpigie mmoja nimuwashie mawashiro
 
Kuna watu haifai kabisa kukaa nao karibu. Mbona kina dada wengine mko so cheap? Mnapata nini kufanya mnayofanya?
 
Anatangaza biashara huyu. Eti "nilipigiwa simu saa nne usiku nikaenda".
 
Back
Top Bottom