Diamond alalamika baada ya show yake Ujerumani kuvurugika

Babu tale aje kutuambia na hii show wamelipwa sh ngapi
 
Kuna siku niliwasikia P Square wanasema pesa yao wametengeneza kwa show za Afrika si majuu...ilinifumbua macho...hivyo hili la Dai halinishangazi hata....
 
Kwenye hiyo picha mbona kuna mdada kama analia...te te te...analilia nini...lol
Watu wanajua kujidhalilisha...mweh!
 
well said.ilikua si kazi yake hata kuandika hii msg kwa fans wake angewaaachia management. Ruttashobolwa
 
Last edited by a moderator:
Heri ungeenda fiesta ya ruge akakulipa laki tano ukajenga heshi
a home.
 
Heri ungeenda fiesta ya ruge akakulipa laki tano ukajenga heshi
a home.
Nawewe nawe sasa si bora kabanwa na kapata tabu kapiga milion 20 kuliko iyo fiesta kwa laki tano jua jamaa yupo kibiashara zaidi laki tano kwake ni shoping ya shati na kiatu
 
lipwid

Waliokwambia watu wanalala na nja Ulaya wamekudanganya. U sifuate stori za vijiweni.
 
Last edited by a moderator:
Laki si pesa
Kulikuwa na vurugu sana pia hizo picha ni za Essen na sio stuttgart
 
Nawewe nawe sasa si bora kabanwa na kapata tabu kapiga milion 20 kuliko iyo fiesta kwa laki tano jua jamaa yupo kibiashara zaidi laki tano kwake ni shoping ya shati na kiatu

Mkuu inaelekea unayajua mengi zaidi kuhusu huyo bwana kuliko hata wema anavyojua.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…