Diamond alalamika baada ya show yake Ujerumani kuvurugika

Nilikuwepo eneo la tukio..kwa kweli diamond ana bahati sana hatukuamua kumuanzishia maana polisi walikuja 30 mins baada ya sisi kuwa tushazingira gari lake.... mjinga sana huyu mtoto
 
fredericko

Vp rommy Jons mzee wa kujishebedua hahahahahha me naomba angeanza kupigwa yy mpambe nuksi...MR DIAMOND SHADOW
 
Last edited by a moderator:
acha zako mkuu pale unazani mtz yupi ataenda kupiga show german tena maana wao washajua sisi ni nuks tu

Waafrika kwa waafrika wanajuana tabia zao, umeona ktk hizo picga kuna mzungu kaenda? 75% watakuwa walioenda ni from east africa, 24% the restbof africa na just 1% wazungu Ambao ni ma partner na michepuko ya waafrica .....
 
lawmaina78

Duh! kumbe mashabiki zako wanaweza kuwa maadui wako siku moja tu..... Ni sheeeeedaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Huyu mbana pua anasumbua sana ,hapo angekuwa ali kiba angekamua sana
 
Amalinze

Hapa ni German au Bukoba, Kuna sura km 3 hapo nawajua ni watu wa Bukoba. Pia mbona black tupu hapa? Halafu kwa nyuma naona km Kuna magari, hapo ni parking? Hata huyu Diamond ni km amesimama juu ya boneti

We ndugu umenichekesha sana..kwa hiyo hapo jamaa kasimama kwenye boneti???
 
Last edited by a moderator:
We ndugu umenichekesha sana..kwa hiyo hapo jamaa kasimama kwenye boneti???

Neg girl we angalia makini utagundua, halafu show gani ya Ujerumani naona ht mzungu na kule ni Ulaya? Hapo ni Bukoba na baadhi ya watu nawsfahamu
 
Kweli...asijitetee promoter kwasababu last say ni yeye domo.kwani hakusoma mkataba?hata wakili ajapokutetea kama hasemi kile unachotaka kusema unaweza kukataa.asitufanye wajinga kutwa kudanganya kwenye mitandao.alienda kwa deal nyingine zimemchelewesha halafu anajidai promoter.kwani huna uongozi wewe.tumechoka kudanganywa.
Ana biashara nyingine ndiyo iliyomchelewesha tu si bure
 
lawmaina78
Kisa cha kuchelewa ni kukosa watu... waliingia washabiki kidogo sana tena wachovu wa kinaijeria na kibongo
 
Last edited by a moderator:
mamakibunju

Holaaaaaaaaaaaaaaaaa nakumissigii hapaa tuuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Neg girl we angalia makini utagundua, halafu show gani ya Ujerumani naona ht mzungu na kule ni Ulaya? Hapo ni Bukoba na baadhi ya watu nawsfahamu

Hahaaa haya bana. Salamu kwa nshomile wote
 
Mama nimekwambia nenda kwenye danguro ukajiuze maana huko ndo kunakufaa..unajidai kumtetea Dai wakati hata hujui kinachoendelea..unaamini vitu vya kusoma..tuulize sisi tulio kuwa sehemu ya tukio..

haya mkuu wasalimie ujerumani .............

Grand PA
 
 
Mbona ukumbi wenyewe kama bwalo fulani hv na sio yale maukumbi tuliyozoea kuyaona ya kimamtoni...........yote ya yote ashukuru Mungu hakudhurika ila siku mingine wasirudie huo utovu wa nidhamu khs muda.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…