Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha zako mkuu pale unazani mtz yupi ataenda kupiga show german tena maana wao washajua sisi ni nuks tu
Amalinze
Hapa ni German au Bukoba, Kuna sura km 3 hapo nawajua ni watu wa Bukoba. Pia mbona black tupu hapa? Halafu kwa nyuma naona km Kuna magari, hapo ni parking? Hata huyu Diamond ni km amesimama juu ya boneti
Kwenye hiyo picha mbona kuna mdada kama analia...te te te...analilia nini...lol
Watu wanajua kujidhalilisha...mweh!
We ndugu umenichekesha sana..kwa hiyo hapo jamaa kasimama kwenye boneti???
Ana biashara nyingine ndiyo iliyomchelewesha tu si bure
hiz trip hiz nadhani sio bure dogo atakua ni ZEBRAAna biashara nyingine ndiyo iliyomchelewesha tu si bure
Holaaaaaaaaaaaaaaaaa nakumissigii hapaa tuuuuuuu
Binamuuuuuuuuuu!
Neg girl we angalia makini utagundua, halafu show gani ya Ujerumani naona ht mzungu na kule ni Ulaya? Hapo ni Bukoba na baadhi ya watu nawsfahamu
Mama nimekwambia nenda kwenye danguro ukajiuze maana huko ndo kunakufaa..unajidai kumtetea Dai wakati hata hujui kinachoendelea..unaamini vitu vya kusoma..tuulize sisi tulio kuwa sehemu ya tukio..
haya mkuu wasalimie ujerumani .............
Grand PA
Mie sijaona kosa la Diamond hapa, pengine ndio maana hata polisi hawashughuliki nae. Mwenye kosa ni muaandaaji wa hiyo shoo ndio maana hata hao polisi wanamtafuta muaandaaji na siyo Diamond[/QUOTE]
It is like you don"t understand the whole story: How can police search for someone they already captured ?. Is that logical?
Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz alijikuta katika hali ya hatari hadi kuokolewa na Polisi mjini Stuttgart, Ujerumani, baada ya washabiki waliokuwa na hasira kuchoka kusubiri show