siwezi kuingia aibu kwa kutofahamu kingereza sina akili ya kitumwa....tuseme hiyo ni balance na labda ni nusu ya malipo yote kwa hiyo jamaa atakuwa analipwa ngapi jumla?? pesa mbuzi tu njaa njaa hamna kingine
Mkuu samahani,
Naona umeniquote vibaya au kuna baadhi ya syntax umezifuta. Mimi hakuna sehemu niliyokuambia ujifunze kingereza. Na siwezi kukuambia hivyo kwa sababu mimi ni mswahili, lugha yangu ya taifa ni kiswahili, na nimezaliwa uswahilini hivyo kingereza ni lugha ya darasani tu ambayo nimelazimika kuisoma na kuitumia kulingana na mfumo wa elimu na kazi.