Diamond alamba mamilioni kutoka ODM ya Raila Odinga, kutumbuiza Mombasa

Diamond alamba mamilioni kutoka ODM ya Raila Odinga, kutumbuiza Mombasa

Chibuuu katumwa kutafuta pesa tu hanaga makuu uyu dogo, heshima uliyonayo itakufikisha zaidi ya hapo.
 
Kila la heri baba tifah. Be careful with throwing objects from uhuru's gangs.
 
1473389220154.jpg
 
Tunataka kodi yetu tu!


Kwa taarifa tu yako tu, mtu yoyote akipiga hela nje ya nchi, hata ziwe milioni nyingi vipi, mamlaka ya mapato ya Tanzania na serikali yake haina chake.
 
Akijigamba kukabiliana na ujio mpya wa muungano wa Jubilee chini ya Kenyata Raila Odinga alikosoa matumizi makubwa katika kununua magari zaidi ya mia mbili yaliyofanywa na jubilee alisema chama chake hakitishiki na kitafanya mkutano mkubwa na msanii mkubwa kutoka Tanzani Diamond atatumbuiza.
 
Diamond akiwa huku CCM, Kenya ODM, Mkuu wa CCM na Mkuu wa ODM ni mabest, anyway endelea ku make money Chibu.
 
Mashabiki wa kiba wanajitahidi kweli kumsapoti ndugu yao ila ndo hvyo tena.
Ni sawa na lecturer anakusaidia mpaka course work upate 30 lkn mtihani wa mwisho unafeli
 
Jamn hapa inaonesha wazi kenya wasanii kibao pale lakin kijana ndo kaonekana wa tanzania...he is another level and haina ubishi wala povu
 
Diamond kwa kununua show....tehteh

aione mzurimie
 
imagine sh. 1 ya tz ni sawa na ksh 0.0246 sasa faya hesabu uone....
 
Ni nani sangoma wake ni PM namba yake


Sangoma wake ni Le Mutuz si uliona alimbebea viatu kwenye show ya Kyela. Sasa vile viatu alivipeleka Mbinga kuvichemsha na majani ya mwarobaini.
 
Back
Top Bottom