Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Wazaramo bwana.. hawa watani zangu wanaweza wakuue kwa maneno tuIv diamond ukiwaweka ay, mwana fa nani mkali uyo domo sioni kitu kumpamba tu
Acha kuchanganya chips yai na ugaliIv diamond ukiwaweka ay, mwana fa nani mkali uyo domo sioni kitu kumpamba tu
This boy is blessed .... breaking his own records.Ndio unzuri wa WCB, huku ukisubiri Wasafi Beach Party unakutana na ya AFCON, ukimaliza AFCON unakutana na ya Ne-Yo tour, mwisho najikuta najiimbia kale kawimbo ka [HASHTAG]#Marryyou[/HASHTAG] na kakionjo kake [HASHTAG]#nidekedeke[/HASHTAG]
HanaKiba hana mwaliko?
Tusubiri siku yenyewe, hakuna jinsi kila moja na bahati yakeHana
Ataenda ametanguliza domo lake mbele kutudhalilisha kwa kuropokwa mambo ya uzinzi hadharani.Shirikisho la soka barani africa CAF limemchagua diamond platnumz na kumlipa mamilioni kutumbuiza kwenye sherehe za uzinduzi wa michuano ya mataifa africa yatakayofanyika nchini Gabon maarufu kama Afcon2017
Michuano hiyo itafanyika mapema mwakani 2017
Uganda ndo taifa pekee ya africa mashariki lililofanikiwa kufuzu
Akiongea kwenye kipindi cha Times Fm manager wa diamond sallam ameongeza kuwa diamond tayari ana booking mpaka julai 2017. Kama unamtaka inabidi usubiri hadi julai
Nasiki usoni mwako badala ya kuw na mdomo una m*******duAtaenda ametanguliza domo lake mbele kutudhalilisha kwa kuropokwa mambo ya uzinzi hadharani.
MotoooooAtaenda ametanguliza domo lake mbele kutudhalilisha kwa kuropokwa mambo ya uzinzi hadharani.
Tatizo yee ataenda kuimba aje tu dakika ngap sijui kamaliza mchezoFunny[emoji2] but Sad[emoji20]...