Diamond alamba mamilioni ya CAF, Kutumbuiza uzinduzi wa AFCON 2017

Mimi nina furaha mpaka basi,sijutii kuwa shabiki wake.
 
kijana kwa kununua huyu aaah hahahaha naskia kashanunua mashabik wa jagwan beach part km 500
 
kutokuwa kwake na kitu ndo kumemfikisha kwnye hayo mafanikio aliyonayo, hao unaowaona wewe wana kitu wana show ngapi kwa mwaka? nini mwaka hata kwa mwezi tu, wanapata show ngapi?
Kwasasa Wanakuambia Huyo Jamaa - Diamond, Anadanganywa Na Manager Wake Na Wananunua Sana Vishow Bila Kuangalia Hasara Wanayokula - Wananunua Vishow Huku Wakila Hasara Ili Tuwaone Wana Show Nyingi - [akili Za Kiba Na Mashabiki Wake ]

- Unajua Mvumbuzi Wa Internet Na Simu Ameleta Janga Zito Mno Duniani, Yaani Hata Jitu Kilaza Wa Vilaza Dumbest Na Lenyewe Linatoa Maoni Yake Kupitia Mtandaoni, Sasa Ukijifanya Wewe Mwalimu Wa Kujitolea Mitandaoni Utapasuka Bure Kufundisha Mataahira
 
Mm nahisi dunia nzima hakuna mashabiki marofa kama wa alikiba wapo radhi kukesha wanapiga kura ata kwny tuzo za vigodoro ili boss wao aonekane mkali....wako desperate sana na mafanikio ya domo
 
Wewe jeeeeee?
 
Back
Top Bottom