Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mambo madogo sana haya,watu wanatumbuiza kombe la dunia nini CAF?
[emoji13] [emoji13]
Jamaa hajawanunua hao CAF kweli teh
Kwasasa Wanakuambia Huyo Jamaa - Diamond, Anadanganywa Na Manager Wake Na Wananunua Sana Vishow Bila Kuangalia Hasara Wanayokula - Wananunua Vishow Huku Wakila Hasara Ili Tuwaone Wana Show Nyingi - [akili Za Kiba Na Mashabiki Wake ]kutokuwa kwake na kitu ndo kumemfikisha kwnye hayo mafanikio aliyonayo, hao unaowaona wewe wana kitu wana show ngapi kwa mwaka? nini mwaka hata kwa mwezi tu, wanapata show ngapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kutoka mtaa wa kupumuliwa they be like “Diamond kawanunua CAF”
Ujielewi wewe na unachokiandikaGood luck....
Iv diamond ukiwaweka ay, mwana fa nani mkali uyo domo sioni kitu kumpamba tu
Mm nahisi dunia nzima hakuna mashabiki marofa kama wa alikiba wapo radhi kukesha wanapiga kura ata kwny tuzo za vigodoro ili boss wao aonekane mkali....wako desperate sana na mafanikio ya domoKwasasa Wanakuambia Huyo Jamaa - Diamond, Anadanganywa Na Manager Wake Na Wananunua Sana Vishow Bila Kuangalia Hasara Wanayokula - Wananunua Vishow Huku Wakila Hasara Ili Tuwaone Wana Show Nyingi - [akili Za Kiba Na Mashabiki Wake ]
- Unajua Mvumbuzi Wa Internet Na Simu Ameleta Janga Zito Mno Duniani, Yaani Hata Jitu Kilaza Wa Vilaza Dumbest Na Lenyewe Linatoa Maoni Yake Kupitia Mtandaoni, Sasa Ukijifanya Wewe Mwalimu Wa Kujitolea Mitandaoni Utapasuka Bure Kufundisha Mataahira
Kama ngapi iviJina analo ila nyimbo hana nyingi zimebuma
Wanamjua ila ndo hvo sasa akialikwa ataenda kuimba nn? Hana nyimboInamaana KIBA hao CAF hawamjui au!!???
Aaaa,binti nimekudhalilisha wewe buana,acha hizo banakama wewe unavyoropoka hapa na kuzalilisha wanaume wenzio wote
Wewe jeeeeee?Mm nahisi dunia nzima hakuna mashabiki marofa kama wa alikiba wapo radhi kukesha wanapiga kura ata kwny tuzo za vigodoro ili boss wao aonekane mkali....wako desperate sana na mafanikio ya domo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Inamaana KIBA hao CAF hawamjui au!!???