Diamond alamba milioni 50 kutoka kwa Dr. Mwaka

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Ule usemi kuwa pesa huenda kwa mwenye nazo haukukosewa kwasababu ndio ukweli.

Sio kawaida kwa wasanii wa tanzania kulipwa fedha wakati wanapoachia single zao mpya lakini sio kwa Diamond.

Wakati ambapo mashabiki wake wanasubiria kwa hamu wimbo wake mpya ''Utanipenda'' unaotoka ijumaa hii, imebainika daktari bingwa wa magonjwa ya uzazi Dr. mwaka amemmwagia diamond mamilioni ya fedha ili kutangaza clinic yake iliopo ilala bungoni.

Taarifa zinadai kuwa hiyo ni sababu pia diamond kusogeza siku za kuachia wimbo huo hadi ijumaa baada ya ofa hiyo kuja, diamond amekula milioni 50 kutoka kwa daktari huyo.

Ndio maana post zake instagram amekuwa anamalizia na #dr.mwaka

Chanzo: bongo5
 

Attachments

  • mwaka.jpg
    15.5 KB · Views: 3,658
hata hivyo mil 50 ni pesa ndogo sana, sema tu kwasababu industry ya muziki bongo bado haijakuwa kiivo makampuni kufanya udhamini wa vitu kama hivi..

Natumaini wanaotaka kuanza kutoa albums watajifunza kitu, maana wimbo haujatoka mtu amerudisha pesa yake...!
 
Amepoteza pesa zake bora hata angempa kingwendu amfanyie promo ingelipa, diamond kapoteza mvuto hakuna anaehangaika nae,,..
 
Hivi team kiba mpo kweli????? hahahahaha au bado mnagharamiwa na Chibu dangote, maana kiba amegundua watu wanatumia pesa nyingi sana kwaajili yake..!!

pwilo K 4 LIFE cute b nifah Shardcole The Name etii nikiamua kumshawishi DR MWAKA ampe kiba milioni 800 kudhamini wimbo wa nagharamia #mtanipenda? hahahaha
 
Last edited by a moderator:
Kho Kho kho!!!! MIL 50 kumtangazia clinic yake? baraaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Amepoteza pesa zake bora hata angempa kingwendu amfanyie promo ingelipa, diamond kapoteza mvuto hakuna anaehangaika nae,,..

ebu subiri dogo sindano za ng'ombe zinakuja uko...ikikuingia lazima useme yalaaaaa!
 

Attachments

  • wp_ss_20151210_0001.png
    41.3 KB · Views: 1,692
ivi dr mwaka ni uganga wa tiba mbadala au ana biashra nyingine? alafu ni dr wa kusoma au ndo kuunganishia tu
 
Ha haaa wapi mzee wa kigharamia?

Ule wimbo sjausikia kabisa? Hiv basata wameufungia au? Kidingi nipe jibu
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Daaaah mkuu labda atusaidie pwilo mkuu vipi??

Teh teh mkuu huyo jamaa anajigharamia.. bada ya wimbo kuto hit wamepanik balaaaa...daaah ngoja ijumaa ifike ndo watapoteana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…