brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Ule usemi kuwa pesa huenda kwa mwenye nazo haukukosewa kwasababu ndio ukweli.
Sio kawaida kwa wasanii wa tanzania kulipwa fedha wakati wanapoachia single zao mpya lakini sio kwa Diamond.
Wakati ambapo mashabiki wake wanasubiria kwa hamu wimbo wake mpya ''Utanipenda'' unaotoka ijumaa hii, imebainika daktari bingwa wa magonjwa ya uzazi Dr. mwaka amemmwagia diamond mamilioni ya fedha ili kutangaza clinic yake iliopo ilala bungoni.
Taarifa zinadai kuwa hiyo ni sababu pia diamond kusogeza siku za kuachia wimbo huo hadi ijumaa baada ya ofa hiyo kuja, diamond amekula milioni 50 kutoka kwa daktari huyo.
Ndio maana post zake instagram amekuwa anamalizia na #dr.mwaka
Chanzo: bongo5