Kamuulize
Mamako au?
Hii sio busara mamaake hapa anahusikaje? Tusiwahusishe wasiohusika tafadhali hasa wazazi
Amepoteza pesa zake bora hata angempa kingwendu amfanyie promo ingelipa, diamond kapoteza mvuto hakuna anaehangaika nae,,..
Haha sasa hizo si pesa za mboga kwa kiba unajua deal la wild aid amepewa shi ngapi au mpaka bongo 5 watangaze that's we call it private issues
Acha ujinga inamaana juzi walivyoenda kwenye conference south unajua wamepewa bei gani yani hadi wazungu wanajitolea buree bila kulipwa et kujitolea kwa hiyo mpaka nauli swahilipia 4m1 subiri selection uende shuleJaribu kusitiri ujinga wako Mwananchi deal la wild aid ni kujitolea hakuna aliyelipwa
Acha ujinga inamaana juzi walivyoenda kwenye conference south unajua wamepewa bei gani yani hadi wazungu wanajitolea buree bila kulipwa et kujitolea kwa hiyo mpaka nauli swahilipia 4m1 subiri selection uende shule
Argument za kitoto kumbe hata wewe huna uhakika..Huwezi kusema mtu analipwa hela nyingi wakati huna hata uhakika na amount mi naita ni akili kinyumbuuAcha ujinga inamaana juzi walivyoenda kwenye conference south unajua wamepewa bei gani yani hadi wazungu wanajitolea buree bila kulipwa et kujitolea kwa hiyo mpaka nauli swahilipia 4m1 subiri selection uende shule
Sina uhakika kivipi sasa wakati ndo nakwambia au unataka ni post hela kabisaArgument za kitoto kumbe hata wewe huna uhakika..Huwezi kusema mtu analipwa hela nyingi wakati huna hata uhakika na amount mi naita ni akili kinyumbuu
Sina uhakika kivipi sasa wakati ndo nakwambia au unataka ni post hela kabisa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mahaba niuwe haya duuTatizo unaleta mahaba mbele ya facts.. Unafahamu mkataba wao ulivyo? mtu wenu kaingia mkataba bila ya malipo umeelewa? yani buuuuure kitu cha kujitolea