Diamond alamba milioni 50 kutoka kwa Dr. Mwaka

Kuweka tangazo kama lile katika wimbo unaoonwa Africa nzima sio kitu kidogo!!

Hivi atakuwa kalipwaje??
 
Nami nimejiuliza swali hilo hilo. Pengine amelipwa mkwanja mrefu sana maana wimbo wake utavuma sana hivyo kuongeza visibility ya Dr Mwaka.
 
Kwa tangazo lile 50M n hela ndogo sana, na pia kimeharibu mziki! Alitakiwa aseme maneno mawili matatu kuhusu hiyo clinic au aonekane anaenda ktk hiyo clinic, au clinic owe sehem ya shooting kuonyesha how huyo jamaa anavosave watu!
Watu wangeulizia zaidi na kwenda kwenye clinic yake zaidi ingekuwa hivo, ila kwa hivi anajulikana amepokea pesa kutoa tangazo inaondoa umuhim wa hiyo clinic
 
Amepoteza pesa zake bora hata angempa kingwendu amfanyie promo ingelipa, diamond kapoteza mvuto hakuna anaehangaika nae,,..

Kila ukisikia watuwanataja wanafiki ujue na wewe umo, usimchukie mtu aliyefanikiwa,jifunze na wewe ufanikiwe
 
Na vyenye alivyo mnyonge sasa tabia ya kuwajibu hanaga
 
Haha sasa hizo si pesa za mboga kwa kiba unajua deal la wild aid amepewa shi ngapi au mpaka bongo 5 watangaze that's we call it private issues

Jaribu kusitiri ujinga wako Mwananchi deal la wild aid ni kujitolea hakuna aliyelipwa
 
Acha ujinga inamaana juzi walivyoenda kwenye conference south unajua wamepewa bei gani yani hadi wazungu wanajitolea buree bila kulipwa et kujitolea kwa hiyo mpaka nauli swahilipia 4m1 subiri selection uende shule
 
Ngoja ukue kue utaacha , naamini hujawahi hata kufanya shughuli za kujitolea hivyo huwezi kuelewa ninachomaanisha
 
Acha ujinga inamaana juzi walivyoenda kwenye conference south unajua wamepewa bei gani yani hadi wazungu wanajitolea buree bila kulipwa et kujitolea kwa hiyo mpaka nauli swahilipia 4m1 subiri selection uende shule
Argument za kitoto kumbe hata wewe huna uhakika..Huwezi kusema mtu analipwa hela nyingi wakati huna hata uhakika na amount mi naita ni akili kinyumbuu
 
Sina uhakika kivipi sasa wakati ndo nakwambia au unataka ni post hela kabisa
 
Tatizo unaleta mahaba mbele ya facts.. Unafahamu mkataba wao ulivyo? mtu wenu kaingia mkataba bila ya malipo umeelewa? yani buuuuure kitu cha kujitolea
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mahaba niuwe haya duu
 
Sishangai kusikia Dr.Mwaka kulipia milioni 50 jamaa yupo vizuri kwanza nyumba anayokaa na magari anayomiliki sidhani kama kuna msanii bongo anamiliki kwasasa.
 
Back
Top Bottom