Diamond alewa sifa na kutukana hadharani

mkuu mimi mwenyewe ni shabiki mzuri wa diamond ila kwa hii picha amejishusha.

Msanii mkubwa kama yeye hawezi kukosa maadui, hivyo ni jukumu kujikotro lakini kwa hali hii amekosa ushauri.

if u dnt know whats in the game u better shut. How he was bullied n discouraged.!! Thats 4 haters, damn their a§ and i add. Acheni unaa
 
Mkuu mimi mwenyewe ni shabiki mzuri wa Diamond ila kwa hii picha amejishusha.

Msanii mkubwa kama yeye hawezi kukosa maadui, hivyo ni jukumu kujikotro lakini kwa hali hii amekosa ushauri.

Yeye kama yeye hawezi kuji-control kwa sababu mbali mbali, hata wasanii na watu wakubwa wa nje huko wanazidiwa na ghasia zinazokuja pamoja na umaarufu + mafanikio. Anahitaji watu watakaomuongoza ili mambo kama haya yasijitokeze. Series ya matukio ya ajabu tangu amebeba hiyo tuzo, sio ishara nzuri.

Jamaa saivi ni level nyingine, ana mashabiki karibu Africa nzima. Hii issue sisi tunaweza kusamehe kwa sababu ni kijana wetu, ila sidhani kama nje ya bongo watamuelewa.
 
Huyu bwana mdogo ameonyesha upunguani wa hali ya juu sana....ameshindwa kujua maana ya yeye kuwa ni kioo cha jamii
Ameshindwa kujua kuwa nyuma yake kuna vijana wengi wanaotamani kuwa kama yeye katika tasnia ya muziki wa kubana pua....kwa picha hii anatoa funzo gani kwa wazazi ambao vijana wao wanaomba sapoti zao kuweza kuwa wanamuziki wa kimataifa hapo baadae.....bila shaka kwa picha hii hakuna mzazi atakayependa mwanaye awe kama huyo kijana....achilia mbali kuwa mwanamuziki.....
Hili ni tusi kwa Watanzania wote maana yeye ndiye anayetuwakilisha kimataifa....
Katika mazingira ya kiungwana anatakiwa aiombe radhi jamii ya watanzania....
 
Hili dole must av the meaning bcaz most people with fame,wamewahi kutake photo za namna iyo..?!
 
KikulachoChako yaani kunakuaga na watu wanakua na mahaba kupitiliza nazan maana hawaoni kama jamaa kakosea

Ukitazama taswira ya huyo kijana ndani ya jamii ya watanganyika ni kwamba haiendani kabisa na hilo tukio alilolifanya hata kama ikiwa ni kwa bahati mbaya au kwa kumlenga mtu....huyu ni mtu ambaye ana ushawishi mkubwa sana hasa kwa vijana wadogo....
Tukio kama hili linapelekea watu wenye akili timamu kumtoa katika ulimwengu wa walio timamu na kumweka katika kapu la wapumbavu....maana ni mpumbavu pekee ndiye mwenye kuweza kutenda hivyo.....
 
Last edited by a moderator:

Na la ajabu zaidi rais wetu mheshimiwa sana Kikwete amekua akimuita sana ikulu. Kwa maana ya kidole hicho hata yeye kaambiwa na hapo ndo ninapopata hasira watu wanavyomsifu humu. Inasikitisha sana mheshimiwa wetu anavyomsaidia huyu dogo ili atusue lakn haya ndo majibu yake. Ngoja nimuite Dada yake tuone atasemaje mzurimie njoo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…