Diamond alewa sifa na kutukana hadharani

MKUU LIMEKUCHOMA HILO HAKUNA CHA TANDALE WALA CHA BIBI YAKE LOYAL

MTANYOOKA TU!!!!

They see you doing good now it's kinda hard to
diss you
Niggas be sick when they remember all the bad
they wished you
Niggas be mad when they can't come and live
lavish with you
But I sped off in the Benzy, I see the envy when
I'm causing a frenzy
So I pop pills for 'em, cop cribs in the hills on
'em

Nyi ndo walewale tuu.
 
Naogopa kutukana ila nlimckza xxl alipo ulizwa kwa nn amepost clp ya joket na aksmalizia kwa kuandka na bado mtanyookatu. Yaan akivo jbu kunya nlichukia wakat huohuo et Ni mtoto wa kiswahili aaaaah bad naacha

Kunywa sumu! Nini kimekuchukiza kwani?
 
OK mm ni miaka ya 70 koz ww ni wa 2010's ndo maana hujui kutofautisha ukweli wa mambo

Mkuu bado hujaja na hoja madhubuti ambazo zitakusaidia kutofautisha huo ukweli wa mambo unaousema...bado unalalamika lalamika tu apa...wakati hao wasanii woote uliowataja apo juu wakiwa wanawika nlikuwa nna akili zangu timamu na mziki nlikuwa naufatilia kwa ukaribu hasa na mpk dakika hii chibu anashine pia nafatilia mziki tn nkiwa na akili timamu...na ndo maana kwa kurefer the existing relevant facts n evidence nimeikana hoja yko ya kwamba eti chibu hajafikia fame ya mr. Nice, huku ni kujifariji tu...apa nahc ww ndo hujui kutofautisha kati ya msalaba na jumlisha,hlf x na kuzidisha.
 
Akiendelea hivi atapoteza hata mashabiki wake tuzo moja ndio imemchanganya akili mpaka anaongea maneno ambayo hayakustahili kutolewa kwenye media
 
Si alipewa u-national icon? Hakujua majukumu ya hiyo title?

Kazingua.
 
Ukitazama taswira ya huyo kijana ndani ya jamii ya watanganyika ni kwamba haiendani kabisa na hilo tukio alilolifanya hata kama ikiwa ni kwa bahati mbaya au kwa kumlenga mtu....huyu ni mtu ambaye ana ushawishi mkubwa sana hasa kwa vijana wadogo....
Tukio kama hili linapelekea watu wenye akili timamu kumtoa katika ulimwengu wa walio timamu na kumweka katika kapu la wapumbavu....maana ni mpumbavu pekee ndiye mwenye kuweza kutenda hivyo.....

mkuu kama ni mfuatiliaji mzuri huyu jamaa sio mara yake ya kwanza kupiga picha ya namna hii. kipindi cha nyuma kabla ya ujio wa Kiba alipiga picha ya namna hii akiwa na romy na aliye iweka kwenye mtandao ni romy...!

ifiki kipindi sisi mashabiki tujifunze kukosoa pale msanii anapo kosea. mapenzi tuliyo nayo dhidi ya hawa wasanii tunashidwa kumkosoa bali tuna msifia kwa kitu alicho kitenda.
Ndugu yetu ameshidwa kujua ana mashabiki wa umri mbalili. kwa mimi nitasema sawa je kwa mtu mzima wa miaka 40 nakuendelea wata mtafakari vipi!

Kwa ishu aliyo ifanya kaikosea sana jamii inayo mzunguka.
 
Tukiruhusu akili zetu ziwaze kimataifa hatutashinda tukishangaa kuhusu Diamond na middle finger.
4.jpg1577867_wiz_jpeg5f2406e41d342d3ef7a2759ea6465e38.jpgkanye-jayz-middle-finger.jpg50-cent-middle-finger.pnghqdefault.jpgbush_finger2.jpga3545bd7.jpgqueen1.jpgsnoop-dogg-middle-fingers-620x370.jpg
 
Bwanamdogo Diamond usilazimishe identity tayari unakubalika na muziki wako watu wanaupenda. Kufanya mambo ya kipuuzi kama haya ni kuharibu heshima yako mbele ya Jamii.Tafsiri ya kitendo ulichokifanya ni ishara kwamba umeonesha kwamba uliumia sana Ali Kiba alipopata tuzo za Ktma . Bwanamdogo mambo huwa hayaendi hivyo sijawahi kumsikia Ali akikuongelea mbaya au hata kuonesha ishara za kipuuzi Kama hizi. Hii ni tofauti kubwa Kati yako na Ali.na kwa maana hiyo hata upate mafanikio Kama Michael Jackson kwa tabia hizi unazoonesha za kishenzi bado utakuwa ni kinda tu kwa King Ali Kiba Kijana mstaarabu.
 
Tatizo Amekulia Tandale Na Mbaya Zaidi Amekimbia Umande Na Ndomana Hajitambui.Kutokana Na Umburula Alionao Ndomana Anaiga Hata Mambo Kishenzi Ambayo Hayafai Katika Jamii.Matusi Kama Haya Hayakubaliki Katika Jamii Ya Kitanzania.Ukiwa Kama Kioo Cha Jamii Unatakiwa Uwe Na Dhima Ya Kua Mfano Bora.Kwa Umburula Alionao Anataka Kujifananisha Wanageria Wakati Yeye Ni Mtanzania.
Siwezi Kua Fan Mtiifu Wa Mburula Kama Huyu!

Wivu ni kitu mbaya sana.
 
Bwanamdogo Diamond usilazimishe identity tayari unakubalika na muziki wako watu wanaupenda. Kufanya mambo ya kipuuzi kama haya ni kuharibu heshima yako mbele ya Jamii.Tafsiri ya kitendo ulichokifanya ni ishara kwamba umeonesha kwamba uliumia sana Ali Kiba alipopata tuzo za Ktma . Bwanamdogo mambo huwa hayaendi hivyo sijawahi kumsikia Ali akikuongelea mbaya au hata kuonesha ishara za kipuuzi Kama hizi. Hii ni tofauti kubwa Kati yako na Ali.na kwa maana hiyo hata upate mafanikio Kama Michael Jackson kwa tabia hizi unazoonesha za kishenzi bado utakuwa ni kinda tu kwa King Ali Kiba Kijana mstaarabu.

Duh wivu ni kitu kibaya sana.
 
Tafsiri yake ni ........ hiyo ni tafsiri yako. Na kwanini umeamua kumhusisha Alikiba na tuzo za KTMA? Kwani kuna sehemu diamond alimuongelea kiba vibaya?
Unaweza kukosoa tabia ya diamond bila kumuongelea kiba hapa bado naamini anayehusika na hiyo middle finger sio kiba.
 
Msanii unaempenda na kumsapoti anapiga picha ya kukuonesha dole la Kati, eti wewe uko busy kujieleza kuwa hilo dole halikuhusu jus because huwa unacoment kwenye fan page yake. Yani ni sawa sawa ukute picha ya u..chi. Ya dada yako kwenye mtandao, arafu ujilazimishe kuamini familia yenu haipati aibu,bali bwana wake.
 
mkuu kama ni mfuatiliaji mzuri huyu jamaa sio mara yake ya kwanza kupiga picha ya namna hii. kipindi cha nyuma kabla ya ujio wa Kiba alipiga picha ya namna hii akiwa na romy na aliye iweka kwenye mtandao ni romy...!

ifiki kipindi sisi mashabiki tujifunze kukosoa pale msanii anapo kosea. mapenzi tuliyo nayo dhidi ya hawa wasanii tunashidwa kumkosoa bali tuna msifia kwa kitu alicho kitenda.
Ndugu yetu ameshidwa kujua ana mashabiki wa umri mbalili. kwa mimi nitasema sawa je kwa mtu mzima wa miaka 40 nakuendelea wata mtafakari vipi!

Kwa ishu aliyo ifanya kaikosea sana jamii inayo mzunguka.
Kuna watu wao hawajui maana ya ushabiki...kwenye fikra zao kwao USHABIKI ni kufurahia tu kile ambacho kimefanywa na kipenzi chao hata kama ni cha kipuuzi....huo ni uwendawazimu kwa kuwa ni sawa mtu anayejitoa akili.....Katika ulimwengu wa wastaarabu ile sio ishara nzuri hata kidogo na hasa ikionyesha na mtu ambaye ni kioo cha jamii....na anapaswa kukemewa kwa kuwa kinaleta tafsiri mbaya katika jamii.......
 
Mkuu bado hujaja na hoja madhubuti ambazo zitakusaidia kutofautisha huo ukweli wa mambo unaousema...bado unalalamika lalamika tu apa...wakati hao wasanii woote uliowataja apo juu wakiwa wanawika nlikuwa nna akili zangu timamu na mziki nlikuwa naufatilia kwa ukaribu hasa na mpk dakika hii chibu anashine pia nafatilia mziki tn nkiwa na akili timamu...na ndo maana kwa kurefer the existing relevant facts n evidence nimeikana hoja yko ya kwamba eti chibu hajafikia fame ya mr. Nice, huku ni kujifariji tu...apa nahc ww ndo hujui kutofautisha kati ya msalaba na jumlisha,hlf x na kuzidisha.

Eti Diamond hajafikia fame ya Mr nice, hebu niambie kitu alichoachieve Nice kwenye muziki ambacho Diamond hana na Mimi nikutajie vitu alivyoachieve Diamond ambavyo Nice hana
 
Msanii unaempenda na kumsapoti anapiga picha ya kukuonesha dole la Kati, eti wewe uko busy kujieleza kuwa hilo dole halikuhusu jus because huwa unacoment kwenye fan page yake. Yani ni sawa sawa ukute picha ya u..chi. Ya dada yako kwenye mtandao, arafu ujilazimishe kuamini familia yenu haipati aibu,bali bwana wake.

inategemea na wewe mwenyewe unataka upate aibu au usipate, yanini kujipanikisha wakati maisha ni mafupi mno?
Kama kapiga picha ya uchi nitamuita nitamkanya ili siku nyingine asirudie, Enhe kwani hata nimkikasirikia hiyo picha ndio itafutika? Je ndo sitapata aibu?

Kwani ku comment kwenye page yake kuna kufanya vipi hilo dole lisikuhusu? Mi nasema hivi ukiamua likuhusu linakuhusu usipo amua halitokuhusu! What a trouble in paradise?

#Haters be like this tandalean boy ana dharau!
#I be like Bitch! Does that middle finger concerns to you! !!?????????
 
Back
Top Bottom