Diamond alewa sifa na kutukana hadharani


Nyi ndo walewale tuu.
 
Naogopa kutukana ila nlimckza xxl alipo ulizwa kwa nn amepost clp ya joket na aksmalizia kwa kuandka na bado mtanyookatu. Yaan akivo jbu kunya nlichukia wakat huohuo et Ni mtoto wa kiswahili aaaaah bad naacha

Kunywa sumu! Nini kimekuchukiza kwani?
 
 
Akiendelea hivi atapoteza hata mashabiki wake tuzo moja ndio imemchanganya akili mpaka anaongea maneno ambayo hayakustahili kutolewa kwenye media
 
Si alipewa u-national icon? Hakujua majukumu ya hiyo title?

Kazingua.
 


mkuu kama ni mfuatiliaji mzuri huyu jamaa sio mara yake ya kwanza kupiga picha ya namna hii. kipindi cha nyuma kabla ya ujio wa Kiba alipiga picha ya namna hii akiwa na romy na aliye iweka kwenye mtandao ni romy...!

ifiki kipindi sisi mashabiki tujifunze kukosoa pale msanii anapo kosea. mapenzi tuliyo nayo dhidi ya hawa wasanii tunashidwa kumkosoa bali tuna msifia kwa kitu alicho kitenda.
Ndugu yetu ameshidwa kujua ana mashabiki wa umri mbalili. kwa mimi nitasema sawa je kwa mtu mzima wa miaka 40 nakuendelea wata mtafakari vipi!

Kwa ishu aliyo ifanya kaikosea sana jamii inayo mzunguka.
 
Bwanamdogo Diamond usilazimishe identity tayari unakubalika na muziki wako watu wanaupenda. Kufanya mambo ya kipuuzi kama haya ni kuharibu heshima yako mbele ya Jamii.Tafsiri ya kitendo ulichokifanya ni ishara kwamba umeonesha kwamba uliumia sana Ali Kiba alipopata tuzo za Ktma . Bwanamdogo mambo huwa hayaendi hivyo sijawahi kumsikia Ali akikuongelea mbaya au hata kuonesha ishara za kipuuzi Kama hizi. Hii ni tofauti kubwa Kati yako na Ali.na kwa maana hiyo hata upate mafanikio Kama Michael Jackson kwa tabia hizi unazoonesha za kishenzi bado utakuwa ni kinda tu kwa King Ali Kiba Kijana mstaarabu.
 

Wivu ni kitu mbaya sana.
 

Duh wivu ni kitu kibaya sana.
 

Tafsiri yake ni ........ hiyo ni tafsiri yako. Na kwanini umeamua kumhusisha Alikiba na tuzo za KTMA? Kwani kuna sehemu diamond alimuongelea kiba vibaya?
Unaweza kukosoa tabia ya diamond bila kumuongelea kiba hapa bado naamini anayehusika na hiyo middle finger sio kiba.
 
Msanii unaempenda na kumsapoti anapiga picha ya kukuonesha dole la Kati, eti wewe uko busy kujieleza kuwa hilo dole halikuhusu jus because huwa unacoment kwenye fan page yake. Yani ni sawa sawa ukute picha ya u..chi. Ya dada yako kwenye mtandao, arafu ujilazimishe kuamini familia yenu haipati aibu,bali bwana wake.
 
Kuna watu wao hawajui maana ya ushabiki...kwenye fikra zao kwao USHABIKI ni kufurahia tu kile ambacho kimefanywa na kipenzi chao hata kama ni cha kipuuzi....huo ni uwendawazimu kwa kuwa ni sawa mtu anayejitoa akili.....Katika ulimwengu wa wastaarabu ile sio ishara nzuri hata kidogo na hasa ikionyesha na mtu ambaye ni kioo cha jamii....na anapaswa kukemewa kwa kuwa kinaleta tafsiri mbaya katika jamii.......
 
 

inategemea na wewe mwenyewe unataka upate aibu au usipate, yanini kujipanikisha wakati maisha ni mafupi mno?
Kama kapiga picha ya uchi nitamuita nitamkanya ili siku nyingine asirudie, Enhe kwani hata nimkikasirikia hiyo picha ndio itafutika? Je ndo sitapata aibu?

Kwani ku comment kwenye page yake kuna kufanya vipi hilo dole lisikuhusu? Mi nasema hivi ukiamua likuhusu linakuhusu usipo amua halitokuhusu! What a trouble in paradise?

#Haters be like this tandalean boy ana dharau!
#I be like Bitch! Does that middle finger concerns to you! !!?????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…