Diamond alichofanyiwa na Heaven on Desert(Kifesi)

Sasa hivi Evely Salt atakua anapigwaa pichaa anatokezeaa mapachaa ntakomajee mieee
 
Last edited by a moderator:
Kumsingaa maana yakee ninii

Shoga angu kumsinga ni kumsugua kwa machicha ya nazi. Nazi inakunwa ile halafu unasuguliwa nayo mwili mzimaaaa.
Mbona ukimfanyia msukuma atang'ara hadi umshangae!
 
Shoga angu kumsinga ni kumsugua kwa machicha ya nazi. Nazi inakunwa ile halafu unasuguliwa nayo mwili mzimaaaa.
Mbona ukimfanyia msukuma atang'ara hadi umshangae!

Weee ulikua wapiii kunipa hayo maujuziii lol ntakuwaa namfanyiaaa mwee
 
Kim nana uzi wetu umefungwaaa lolll
 
Last edited by a moderator:
Nimefarijika sana ndugu. Na ninachojifunza kwako ni wewe kumpa sifa yule aliyekusaidia tena wazi wazi. Mungu akubariki sana
 
Hahhhhahhhahhahha sijala wala sijaogaaaa

Bila ule uzi bila kufungwa kuna wa-Tanganyika wangechezea BAN maana mdada wa watu alipandisha jazba mimi nlikua nasubiri picha tu ile narudi usiku huu uzi umerestishwa ini pisi.
 
ah ULIIKOMA JF!
ahhahahahha ILA HUKUKATA TAMAA!
BIG UP DOGO!
YANI ULIKAZA HASA!
ULIANZA KAMA MASIKHARA PAMOJ NA FIMBO ZOTE TULIZOKUCHAPA NAZO NA THREAD ZAKO ZA FAGIO AH ULIKOMAAAAAA!
UMENIFUNDISHA KITU!

Heaven on Earth unamkumbuka bin kaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…